Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Mjerumani amchambua Lowassa, awashangaa Watanzania

Heshima Yako mkuu wangu.
Ati Lowasa hajawahi kukanusha? Kweli?
Ingia youtube tafuta mahojianobkati ya Lowasa na Tido mhando . Kipindi hiko akiwa bbc. lowasa alikanisha kabisa kuhusika. Sasa wewe sijui unaishi wapi ndugu yangu.
Na my friend kuwa na degree sio kigezo cha kujua kingereza, ila hio pia sio lugha yetu. Tudumishe kiswahili.

Kwani BBC inasikilizwa na % kiasi gani cha Watanzania, kwa nini hakufanya vivyo hivyo kwenye local media?
 
Mbona tatizo la MSM hapa kwetu ni kubwa tu?! tatizo wewe ni mmoja wa wale ambao hamtaki kukubaliana na ukweli na hali halisi?

Hali halisi we ulikuwa huijui mpaka isemwe na mzungu!!!????
 
huyo mzungu muulize kama walishafidia tanganyika kwa wizi,ukatili,ubakaji,ujangili waliotufanyia,bado unaabudu wazungu?? hopeless

Hapo mkuu tunachoangalia ni hoja, we na wenzako hamna hoja. Mbona mnaomba misaada kwa hawa hawa wazungu mnaowaponda ki unafiki??.kinachoongelewa hapo ni mtu wenu kuhusika na sakata la Richmond. Sasa we unataka kumsafisha kwa kutumia maovu ya wazungu!!,mbona mnazidi kujidhalilisha?, hata mtoto mdogo anajua huwezi sema uchumi haukui kwasababu ya wakoloni, tafuta wa kudanganya.
 
Huyu mleta mada inaonekana hata huyo mjerumani angemwambia ampe 0713 anngekubali tuu. Kwani ameonyeaha kila alichokua anaambiwa anaona sahihi tuu. Akafanye siasa kwao atuachie Tanzania yetu.
Lowassa will be in white house from 26 oct believe or not.
 
Who's that Mzungu kwa nchi yetu na kwako hadi uanzishe thread kabisa? So kwa kuwa kasema Mzungu ndo tuamini sio?

HATA kikwete anajua kuwa wazungu ni tumaini lake ndio maana amesafari zaidi ya mara400 kuomba omba kwa wqzungu
 
lowassa anaizingumzia vipi ile kashfa? na kama hajaizungumzia, maanake hatuwez jua kama hajashiriki au ameshiriki?, ok yaweza kawa hajashiriki ila lazima atakua anajua walaji, na hao kama hajawataja basi kuna mahusiano matamu kati yao...TUJIULIZE.
Watanzania tunapaswa tulijue hili kabla hatujampa kura zetu.
 
Huyu mleta mada inaonekana hata huyo mjerumani angemwambia ampe 0713 anngekubali tuu. Kwani ameonyeaha kila alichokua anaambiwa anaona sahihi tuu. Akafanye siasa kwao atuachie Tanzania yetu.
Lowassa will be in white house from 26 oct believe or not.

mkuu wajerumani toka zamani ndio waliwafungua macho walileta shule,bandari walijenga reli na barabara za kwanza sasa we unajifanya mjuaje kumbe bila wajerumani mpaka leo ungekuwa unavaa kama BUSHMEN WA kalahari
 
labda anakusaidia wewe na hao wengine wanaopenda msaada. simuungi mkono Lowasa, lakini eti kusema mzungu ndo amesema, huo ni ufinyu wa fikra,yaani sie hatuwezi kuwahukumu wagombea mpaka tusemewe na wazungu????hata huko ni kutukanwa tena matusi mabaya.

Hatujatukanwa wala mzungu wa watu hana shida ukiangalia vizuri nadhani hata wanyama wanatushangaa level ya thinking capacity yetu ikoje sijui huwa tunapeleka wapi akili zetu wakati wa kuchagua viongozi wetu
 
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.

Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.

Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

"wakati ule alionekana amekula Rushwa" ana uhakika na hili ile wanasema uhakika pasi na shaka juu ya wingu la sheria!
 
Chakushangaza watu wanamu-attack mtoa mada pamoja na mzungu, la kujadili ni je, hayo maswali ni ya msingi ama sio?
 
Katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa Ujerumani kwenye N.G.O yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.

Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa Lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna Watanzania wanampenda awe Rais. Yule Mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya Corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula Rushwa, sasa anataka kuwa Rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au Lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, Or was he cleared by the court? yaani, je Mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda Mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga Lowasa mkono? nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.

Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.

Wewe usiwe mwepesi kihivyo ni kwanini na wewe hukumuuliza ni kwanini kwao Ujerumani bado wanapigia kura ma neo Nazis ili hali wanajua ya kwamba Hitler (mwanzilishi wa Nazi) alichinja watu zaidi ya milioni 30 pamoja na Wajerumani wenyewe? Muulize hio swali na umwambie sababu zinazowafanya Wajerumani wengi tu leo hii kumpenda na kumkubali Hitler na wafuasi wake ndiyo hizo hizo zinazowafanya Watz wamuone Bw.Lowasa kama mkombozi wao!
Mbona na wewe hukumwambia ya kwamba ,,you are such an amazing country, with this style it may take you so many years to change" kwa kumkubali na bado kupigia kura Wafuasi wa Adolfu Hitler?
 
mimi sio mzungu, ni mtanzania, halisi,vizazi na vizazi. lakini siwezi kukubali kuona fisadi mla rushwa mwenye credibility mbovu kama Lowassa anaingia Ikulu. Tulikaa kimya 2005 hatukukemea watoa ahadi zisizoeleweka, tumeishi kwa kujutia miaka 10.

Watanzania wenye uwezo wa kuchambua baya na jema wana wajibu kwa watanzania wasio na uwezo huo kwa kuwaelmisha na kuwaambia upuuzi wa kuchagua viongozi wasiofaa kwa sababu tu ni mabingwa wakutoa pesa. Ndio maana nimetamka wazi, nitapayuka kadri niwezavyo kuwaonesha mapungufu ya huyu Lowassa.Kama CCM wakiamua kumpitisha na UKAWA kwa ujinga wao wakashindwa na fisadi kama huyu kwenye sanduku la kura. Iwe ni mwanzo na mwisho wa thread za maisha magumu humu JF, kwani tutakuwa tumejifanyia certification ya kuyamiliki maisha ya hovyo kwa miaka 10 ijayo na possibly mingine mingi sana.

Lowassa hana jipya kama kiongozi, ni mla rushwa, anakumbatia kila aina ya mafisadi, na mbaya zaidialifukuzwa yeye na kina mramba walioshtakiwa kwa kutuuzia umeme hewa.leo hii asijifanye msafi wakati hajasafishwa kokote.

VERY WELL SAID BROTHER....I AM WITH YOU ALL THE WAY..Mimi sio mshabiki wa chama chochote cha siasa, lakini watanzania na wanaCCM wakiruhusu LOWASA aingie Ikulu Taifa letu pendwa la Tanzania litakuwa limepatwa na msiba mkubwa sana..!
Hivi kweli watanzania milioni 45 tunakosa mtu mmoja Honest, na mwadilifu na clean wa kutuongoza, badala ya Lowasa mwenye kila harufu ya ufisadi, rushwa na tamaa? Have we as a nation sunk this Low? Jamani tukumbuke kuwa the Presidency is the image and symbol of the nation, do we really want to be identifiable with Lowassa? Rushwa ametoa waziwazi makanisani, misikitini, mashuleni, n.k bila kutoa maelezo yoyote on the SOURCE of the billions of the money. How can a noble nation like our Tanzania have a president whose source of wealth is a dark spot, and actually refuses to explain his sources? Who are those shadowy rich individuals behind him? Do we now want our dear nation be influenced, controlled and led by MAFIA like gangs?
Mimi naamini kuwa rais wetu ni public figure na lazima maisha yake yote yawe as transparent as possible na tuangalie wanaomzunguka ni watu wa namna gani. Sio kama Lowasa watu wake wa karibu matajiri ni Karamagi, Chenge, Rostam.etc..watu ambao wote tunajua fika experience-wise kuwa hawana nia njema na nchi yetu hata kidogo.

PLEASE JOIN ME TO REJECT LOWASSA AND HIS GANG AND SAVE OUR DEAR MOTHERLAND FROM DOOM..
 
katika hali ya kunishangaza, nilikuwa nabadilishana mawazo na mzungu mmoja raia wa ujerumani kwenye n.g.o yake. Katamka maneno yaliyonistaajabisha.

Tumeongea mambo mengi lakini baadae tukaanza kuongelea siasa. Akasema kuna yule aliekuwa waziri mkuu anaitwa lowasa, nimeona sasa mnampenda sana. Mimi nikamjibu inaonekana kuna watanzania wanampenda awe rais. Yule mzungu akaniuliza, si yule aliejiuzuru kwa sababu ya corruption?, nikamjibu ndie huyo. Akasema, wakati ule alionekana amekula rushwa, sasa anataka kuwa rais na watu wanamuunga mkono!, akaongezea kwa kusema how can you easily forget?, how can you easily change your mind?, yaani mnawezaje kuwa wasahaulifu namna hii, mnawezaje kubadili fikra zetu haraka hivi juu yake?, hapo mimi nikabaki na kigugumizi. Akaongeza, au lowasa amewahi kuwaelezea uhusika wake na hizo corruption?, mimi nikamjibu hapana. Akasema tena, or was he cleared by the court? Yaani, je mahakama iliona hana hatia?, nikamjibu kesi haijawahi kwenda mahakamani. Akauliza, then which criteria do you use support him?, yaani mnatumia kigezo gani kumuunga lowasa mkono? Nikamjibu kwakweli sijui wananchi wanatumia kigezo gani.

Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.
huyo mzungu pori wako ajitokeze hadhani asikunongoneze ww
 
kw kwl inatia huruma cna watanzania kuw tumesahau kuhusu lowasa kirahc cna kw hili tumekuwa vivutio asee

akil zetu zime freeze hatujui nn tunafany.kumchagua mtuhuniwa nd awe tumaini letu.how????

km tumelogwa bc alieturoga ameisha kufaa.tunaitaj maombez
 
Yule mzungu akasema, anyway, you are such amazing country, with this style it may take you so many years to change. Yaani ninyi ni nchi ya ajabu, kwa style hii itawachukua miaka mingi kupata mabadiliko.
Sifa zote alizonazo EL ndizo hizo hizo ilizonazo CCM.
Na Watanzania watakavyoendelea kuiacha ccm madarakani ndivyo watakuwa wanaongeza muda wa kutatua matatizo yao!

Mimi najitambua, kanisaidia kuwashangaa watanzania wenzangu

Lowasa is useless hata wanao mtetea hapa hawawezi kujibu hoja zetu . Watu wote wanao jitambua hawawezi ongelea Lowasa . Dunia inatushangaa
 
Haihitaji mzungu aseme kujua kwamba ENL hafai kuwa raisi
 
Back
Top Bottom