Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kuachia ngazi za kisiasa mara kipindi cha ubunge wake kitakapoisha mnamo mwaka 2015.
Pinda amesema kazi yake ni ngumu na mara nyingi anashindwa hata kupata usingizi usiku, hivyo anawaachia wengine.
Aidha amewaasa wote wanaokimbilia mbio za urais kwamba kazi hiyo siyo rahisi.
Source: Pinda mwenyewe.
My take:
1. Good riddance.
2. Sijaona chochote cha maana alichofanya.
3. Jimbo hili litakua wazi kwa CHADEMA.
Hana mvuto wa sura kama JK je atachagulika? Haswa wapiga kura akina mama!
Pleeeease,
Mi naona hafai kwa maana hana historia ya substantial achievement yoyote.Kutokuwa na scandal siyo achievement and it is sad that we are now reduced to view this as qualification.
Alivyoongea acceptance speech siyo presidential material kabisa.At this point hatuwezi kucheza kamari nyingine kama ya Kikwete.
Don't let me tell you I told you, hate as I do to do that, as it is the case with Kikwete.
2015 tunataka upinzani ujiandae kuchukua nchi, CCM tumechoka.

Akifanya vizuri tumpedekeze kiwa Presidaa..Au mnaonaje?
Hamna cha Lowassa,Mwandosya
Komandoo Salmin, Mwinyi na Kikwete ndio Maprez waliopata kura nyingi za kina mama,Hana mvuto wa sura kama JK je atachagulika? Haswa wapiga kura akina mama!
mhh jamani comments zingine?!?!?!?!
Wakina mama wanachagua mvuto na sio kiongozi anayefaa?!?!
Pleeeease,
Mi naona hafai kwa maana hana historia ya substantial achievement yoyote.Kutokuwa na scandal siyo achievement and it is sad that we are now reduced to view this as qualification.
Alivyoongea acceptance speech siyo presidential material kabisa.At this point hatuwezi kucheza kamari nyingine kama ya Kikwete.
Don't let me tell you I told you, hate as I do to do that, as it is the case with Kikwete.
2015 tunataka upinzani ujiandae kuchukua nchi, CCM tumechoka.
..nasikia ana mambo ya kishirikina kazini!
Koba!
Maaskofu wenyewe wanavaa hirizi za bagamoyo chini ya migolole na kofia zao za uchungaji.
Altare za makanisa zinafukiziwa na kunuiziwa maneno ya wanga ndumba zinazikwa kwenye viwanja vya makanisa na ibada za ibilisi kusemwa,usiku wa manane, ndani ya nyumba za Mungu huku wenyewe wakiwa uchi wa mnyama .
Sembuse viongozi wa kisiasa?
Na wenzetu wa Dini nyingine ndo kabisaa, huwezi kuwa Bosi wa kuongoza ibada mpaka uwe na nguvuza kumili ndumba na nguvu za giza.
Nijuavyo mimi kuna viongozi wachache sana wasio na Maafisa nidhamu(Wapiga ramli) katika list ya washauri wao.
Unaweza shangaa kabisa katika ofisi kuona mtu asiye na cheo wala madaraka anaogopwa ile mbaya kisa, Hawamuwezi.
Waafrika bwana, yaani sisi ni kufikiria kukamata madaraka tu na sio kufanya nini na hayo madaraka. Yaani madaraka kwetu ni goal na achievement at the same time rather than a means to achieve something. Sasa huyu kapewa uwaziri mkuu juzi kwa sababu anazozijua JK tayari tunaanza kulishwa sumu kwamba awe Rais 2015 kabla hata hajafanya kazi yenyewe tuione! Kuwa PM nako imeshakuwa ticket ya kuwa Rais, wala hatuambiwa huyu MP ana kipi hasa anatuuzia au ndio hayo mamiaka mengi ya kuzunguka kwenye maofisi ya serikali mambo ambayo Obama anayapinga sana na sisi tunajifanya kumuunga mkono kwa hilo-we couldn't be more hypocritic. Ndiyo hapa NN anaposema miafrika...!