Mizengo Pinda for Pres 2015?

Status
Not open for further replies.

mstahiki

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
308
5
Akifanya vizuri tumpedekeze kiwa Presidaa..Au mnaonaje?

Hamna cha Lowassa, Mwandosya

UPDATES:
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kuachia ngazi za kisiasa mara kipindi cha ubunge wake kitakapoisha mnamo mwaka 2015.

Pinda amesema kazi yake ni ngumu na mara nyingi anashindwa hata kupata usingizi usiku, hivyo anawaachia wengine.

Aidha amewaasa wote wanaokimbilia mbio za urais kwamba kazi hiyo siyo rahisi.

Source: Pinda mwenyewe.

My take:
1. Good riddance.
2. Sijaona chochote cha maana alichofanya.
3. Jimbo hili litakua wazi kwa CHADEMA.
 
Pleeeease,

Mi naona hafai kwa maana hana historia ya substantial achievement yoyote.Kutokuwa na scandal siyo achievement and it is sad that we are now reduced to view this as qualification.

Alivyoongea acceptance speech siyo presidential material kabisa.At this point hatuwezi kucheza kamari nyingine kama ya Kikwete.

Don't let me tell you I told you, hate as I do to do that, as it is the case with Kikwete.

2015 tunataka upinzani ujiandae kuchukua nchi, CCM tumechoka.
 
Pundit,
Afadhali wewe umesema. Nani aliyesema CCM itatawala daima?
 
Pleeeease,

Mi naona hafai kwa maana hana historia ya substantial achievement yoyote.Kutokuwa na scandal siyo achievement and it is sad that we are now reduced to view this as qualification.

Alivyoongea acceptance speech siyo presidential material kabisa.At this point hatuwezi kucheza kamari nyingine kama ya Kikwete.

Don't let me tell you I told you, hate as I do to do that, as it is the case with Kikwete.

2015 tunataka upinzani ujiandae kuchukua nchi, CCM tumechoka.

Roma haikujengwa ndani ya siku moja....swali, Wapinzani wana mkakati wa kuwaingiza Ikulu 2015 au angalau kupata nusu ya wabunge kufikia mwaka 2015?
 
Hana mvuto wa sura kama JK je atachagulika? Haswa wapiga kura akina mama!
Komandoo Salmin, Mwinyi na Kikwete ndio Maprez waliopata kura nyingi za kina mama,

Marehemu Sokoine ndie kiongozi aliyeliliwa sana na kimama...

Kamanda hapo sababu unayo!
 
Pinda mmhh...mbona mapema sana wajameni?

mi naona Membe kama kachuguo...lkn watu wa Usalama kwakuwa Pinda ni usalama mwezao watataka awe Pinda...so Membe atakuwa na kazi kubwa...Wale wenye chuki binafsi na Membe...sasa washaanza kupumua kwakuwa Pinda yupo. May be ataanza mapema.

Ila Naungana na wenzagu..tumechoka kula chakula kimoja...Tunahitaji upinzani wajiandae...I hope Kiteto upinzani utachukua. Wapo Upinzani ambao wataturdisha nyuma tu...maana matumbo yao meupeeeeeeee.....
 
mhh jamani comments zingine?!?!?!?!

Wakina mama wanachagua mvuto na sio kiongozi anayefaa?!?!

Umenikumbusha quote nyingine ya Mwanakijiji ila sijui iko wapi tena. Alisema eti, Balali hana kichwa cha plastic surgery......something along those lines....now thats just cold and you know it maaaaaaaaaaaaaaaaan!!
 
Pleeeease,

Mi naona hafai kwa maana hana historia ya substantial achievement yoyote.Kutokuwa na scandal siyo achievement and it is sad that we are now reduced to view this as qualification.

Alivyoongea acceptance speech siyo presidential material kabisa.At this point hatuwezi kucheza kamari nyingine kama ya Kikwete.

Don't let me tell you I told you, hate as I do to do that, as it is the case with Kikwete.
2015 tunataka upinzani ujiandae kuchukua nchi, CCM tumechoka.

Substantial or not bado sio kijani sana,huyu ana Uti-kijani ya uadilifu, ni muadilifu wa kazi anayetumika, Period.

Mie mwenzenu sijaichoka CCM, Nimechoka kitu iitwacho 'Domocracy' ndani ya CCM, ipo, itakuwepo, lakini isije ikawa usukani kwenda kwenye karne hii mpya, au ndio 'Ngwe' mpya? CCM inahitaji new ideas bila ya kuwa na mlolongo mrefu na Uti-kijani- wewe Mpinzani! Hii hakuna! Uti ambao unategemewa sasa ni Uti-Kitaifa, Kizalendo na Kijani! Ningependa kusimama kidete na kadi yangu huku nikisema Uti-kijani tuweke rangi mbadala! Rangi ya Democracy!

Pinda-bado ni mchachu.
 
..nasikia ana mambo ya kishirikina kazini!

Koba!

Maaskofu wenyewe wanavaa hirizi za bagamoyo chini ya migolole na kofia zao za uchungaji.

Altare za makanisa zinafukiziwa na kunuiziwa maneno ya wanga ndumba zinazikwa kwenye viwanja vya makanisa na ibada za ibilisi kusemwa,usiku wa manane, ndani ya nyumba za Mungu huku wenyewe wakiwa uchi wa mnyama .

Sembuse viongozi wa kisiasa?

Na wenzetu wa Dini nyingine ndo kabisaa, huwezi kuwa Bosi wa kuongoza ibada mpaka uwe na nguvuza kumili ndumba na nguvu za giza.

Nijuavyo mimi kuna viongozi wachache sana wasio na Maafisa nidhamu(Wapiga ramli) katika list ya washauri wao.

Unaweza shangaa kabisa katika ofisi kuona mtu asiye na cheo wala madaraka anaogopwa ile mbaya kisa, Hawamuwezi.
 
Halafu nikisema Waafrika Ndivyo Tulivyo....watu wanabisha....
 
Hizo siasa za kizembe za karne iliyopita zitakuwa hazina nafasi miaka ijayo. Na hao wanasiasa wazembe wazembe kama akina Muungwana/Lowassa hawana nafasi kabisa katika siasa za kitanzania miaka ijayo.

Watashangaa wakiwaona akina Obama wa kitanzania wakiibuka wakati hawajui wametokea wapi? Wakiamka watakuwa wamechelewa.
 
Waafrika bwana, yaani sisi ni kufikiria kukamata madaraka tu na sio kufanya nini na hayo madaraka. Yaani madaraka kwetu ni goal na achievement at the same time rather than a means to achieve something. Sasa huyu kapewa uwaziri mkuu juzi kwa sababu anazozijua JK tayari tunaanza kulishwa sumu kwamba awe Rais 2015 kabla hata hajafanya kazi yenyewe tuione! Kuwa PM nako imeshakuwa ticket ya kuwa Rais, wala hatuambiwa huyu MP ana kipi hasa anatuuzia au ndio hayo mamiaka mengi ya kuzunguka kwenye maofisi ya serikali mambo ambayo Obama anayapinga sana na sisi tunajifanya kumuunga mkono kwa hilo-we couldn't be more hypocritic. Ndiyo hapa NN anaposema miafrika...!
 
Ni mapema kuanza kuwaza mambo ya Uraisi 2015. PM ana majukumu makubwa mbele yake ya kurudisha heshima ya Serikali iliyopo madarakani na pia kutekeleza ahadi kwa wananchi.
 
Waafrika bwana, yaani sisi ni kufikiria kukamata madaraka tu na sio kufanya nini na hayo madaraka. Yaani madaraka kwetu ni goal na achievement at the same time rather than a means to achieve something. Sasa huyu kapewa uwaziri mkuu juzi kwa sababu anazozijua JK tayari tunaanza kulishwa sumu kwamba awe Rais 2015 kabla hata hajafanya kazi yenyewe tuione! Kuwa PM nako imeshakuwa ticket ya kuwa Rais, wala hatuambiwa huyu MP ana kipi hasa anatuuzia au ndio hayo mamiaka mengi ya kuzunguka kwenye maofisi ya serikali mambo ambayo Obama anayapinga sana na sisi tunajifanya kumuunga mkono kwa hilo-we couldn't be more hypocritic. Ndiyo hapa NN anaposema miafrika...!

Si unaona hata wewe ndugu yangu....yaani hata tufanyeje tunajiukuta tunarudi kulekule kwenye mambo ya uongozi na ulaji. Hii ni tofauti kabisa na wenzetu ambao ukiwa kiongozi wa kisiasa au wa serikali ulaji huwa unapungua.
 
Hivi Waziri Mkuu Mh. Pinda nae kugombea urais mwaka 2015?

Nimepitia list ya mawaziri wakuu wa Tanganyika/Tanzania waliotangulia ([ame="http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Prime_Ministers_of_Tanzania"]http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_Prime_Ministers_of_Tanzania[/ame]), nimeona wengi wao kila mtu kwa wakati wake alipata ndoto ya kugombea urais, na bahati mbaya kwao wengi waliukosa isipokuwa Nyerere pekee yake.

Duh haya tuone 2015 Pindi nae akijitosa..........kuendeleza desturi yetu!
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom