Mizengo Pinda for Pres 2015?

Status
Not open for further replies.
Is that supposed to be a question or just a suggestion? Maana kwenye heading umeuliza kama swali.
 
Mkuu huamini ulichoona au? Ni-suggest nini wakati mtiririko unauona.....wapo wachache hawakudiriki kutokana na mazingira eg Kawawa, Sokoine etc. Kwa hivyo Mhe. Pinda ataangukia upande gani....ndio tunasubiri mkuu! Je atajitosa as usual au atarudi kupumzika Rukwa?
 
Pinda akataa Mashangingi............
Pinda apinga matumizi ya V8 wilayani..........
Pinda This and Pinda That........
Pinda Son of a Peasant.................
12_10_6scme1.jpg

Je Pinda Mchapakazi.......???? au Preparation za Pinda for 2015
 
Yote hayo yanakosa uhalali kutokana na yeye kutetea kwamba Kagoda haikamatiki! Eti nchi itayumba!
Hapo uchapa kazi umekuwa tarnished!
 
Wasomaji na wana-JF mpaka sasa ni UVCCM ndio nasikia wana mkakati wa kumuweka Mwenyekiti wao wa zamani kujiandaa kwa Urais, Mimi noonelea Bw Mizengo anastahili kwani ameonyesha upeo mkubwa sana alipokuwa Serikali za Mitaa alitembelea Halmashauri zote Tz aliwaunganisha Madiwani wa Kigoma mjini (CHADEMA na CCM) katika Umeya walipofungana kwa idadi ya kura na akashauri aanze Meya wa CDM na atamalizia wa CCM. alionyesha uchungu Bungeni kwa Maalbino. Na huend aakawanyima Dowans hela zao za kitapeli ndio pekee anayeweza kuiwakilisha CCM la si kama yeye UPINZANI ni 2015
Kwa sasa amehamia Kijijini ZUZU nje kidogo ya Dodoma anakolima masika haya.
Nakaribisha maoni
 
Kumbukumbu zako ni zero. MKUU KASEMA ANASITAAFU SIASA BAADA YA MIAKA HII MI5.
 
Kama kweli bora aachane na siasa.Hafai kuwa mkulu wa nchi hii.Ni mnafiki,kama sio direct fisadi basi kuwadi wa ufisadi,hawezi kulisaidia taifa kupambana na ufisadi.Yuko too soft,hana sauti ya mamlaka.Msanii tu huyu....
 
Akiombwa na wazee wa ccm atakubali nani hataki U-presida.

Akipata itakuwa another lost years
 
Wasomaji na wana-JF mpaka sasa ni UVCCM ndio nasikia wana mkakati wa kumuweka Mwenyekiti wao wa zamani kujiandaa kwa Urais, Mimi noonelea Bw Mizengo anastahili kwani ameonyesha upeo mkubwa sana alipokuwa Serikali za Mitaa alitembelea Halmashauri zote Tz aliwaunganisha Madiwani wa Kigoma mjini (CHADEMA na CCM) katika Umeya walipofungana kwa idadi ya kura na akashauri aanze Meya wa CDM na atamalizia wa CCM. alionyesha uchungu Bungeni kwa Maalbino. Na huend aakawanyima Dowans hela zao za kitapeli ndio pekee anayeweza kuiwakilisha CCM la si kama yeye UPINZANI ni 2015
Kwa sasa amehamia Kijijini ZUZU nje kidogo ya Dodoma anakolima masika haya.
Nakaribisha maoni

Ukwaju mzuri eh! Unauonaje?
 
Thubutuu.. Mizengo atakua mara 2 ya JK kuramba viatu vya RA, EL.. Hana ubavu wa kua Rais mzalendo..
Lakini yote yanawezekana.. Hata Dr Shein aliwahi ahidi mwaka 2010 ndio mwisho wa kuitumikia Siasa.. Yupo wapi now?
 
Hafai kuwa raisi huyu, hana maamuzi 'MAGUMU'. Angekuwa anaijali nchi, asingeruhusu shangingi lile 'alilolikataa' likanunuliwa. Angezuia lisinunuliwa kabisa. Hatuhitaji mtu wa namna hii. Lakini Pinda pia ni mkabila sana, kama unabisha basi kumbuka yaliyompata mkuu wa wilaya ya Mpanda (2006-2008), yaliyompata na chanzo cha ugomvi wao.
 
Yeye kama waziri mkulu angetoa tamko zito zid ya Ufisadi wa rich sio kudhani kuwa kamatukishindwa tilipe, nani aliowatuam Rex attorney kututetea, simuamini sana maana alifanya maigizo juzi kwa kukataa shangingi la mil 280 huku mchakato wa kuyaigiza aliujua, sasa haya Mashang yameenda wapi au wametuludishia pesa zetu? nampenda kwa uadirfu wake na ni muumini mzuri tu wa RC Hanasif, labda Rosta, EL, Mkono0, Chenge wafe ndio ataongoza nchi hii,
 
Hafai kuwa raisi huyu, hana maamuzi 'MAGUMU'. Angekuwa anaijali nchi, asingeruhusu shangingi lile 'alilolikataa' likanunuliwa. Angezuia lisinunuliwa kabisa. Hatuhitaji mtu wa namna hii. Lakini Pinda pia ni mkabila sana, kama unabisha basi kumbuka yaliyompata mkuu wa wilaya ya Mpanda (2006-2008), yaliyompata na chanzo cha ugomvi wao.
Du mkuu (Idimi) nilikuwa simjui kama ni mkabila mm niliangalia sura. Naomba Data zaidi za hao wakuu wa wilaya hata mmoja kwa faida ya wengine na vizazi vijavyo kwa mwaka 2015
 
Nimechukizwa mno na kitendo cha Waziri Mkuu,Mizengo Pinda cha 'kumpiga stop' Waziri wa Ujenzi,John Magufuli kuendelea na harakati zake za kusimamia Sheria za Barabara kwa njia ya bomoabomoa.Kilichonichukiza zaidi ni kitendo cha Pinda kutangaza katazo hilo kwenye mkutano wa hadhara badala ya kutumia njia za kiserikali.Je,Pinda anaogopa kuzidiwa kasi na Magufuli? Je,Pinda anataka misifa na huruma toka kwa wananchi kuwa amewawepusha na bomoabomoa kwa ajili ya Urais wa 2015?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom