Akifanya vizuri tumpedekeze kiwa Presidaa..Au mnaonaje?
Hamna cha Lowassa, Mwandosya
UPDATES:
Hamna cha Lowassa, Mwandosya
UPDATES:
Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza kuachia ngazi za kisiasa mara kipindi cha ubunge wake kitakapoisha mnamo mwaka 2015.
Pinda amesema kazi yake ni ngumu na mara nyingi anashindwa hata kupata usingizi usiku, hivyo anawaachia wengine.
Aidha amewaasa wote wanaokimbilia mbio za urais kwamba kazi hiyo siyo rahisi.
Source: Pinda mwenyewe.
My take:
1. Good riddance.
2. Sijaona chochote cha maana alichofanya.
3. Jimbo hili litakua wazi kwa CHADEMA.