Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Poleni Ndugu zetu watanzania..Naona mkoloni mweusi amebana kila kona.Ila ipo siku yao tu.Sie tuliokua nje ya Tz tunaona kila kitu live bila chenga.Nawatakia uchaguzi mwema.
 
Tukisema magufuli hafai kuwa Raisi msidhani kuwa tuna chuki nae bali tunasema ukweli na tunamaanisha kweli. Huyu mtu ni kweli hafai kabisa sio tu kuwa Raisi bali hata diwani tu. Huyu mtu ni fedhuli na dikteta wa kiwango cha juu kabisa na hana ubinadamu kabisa.

Wito wangu kwa watanzania, Leo tu mmeona udhalimu wa huyu jamaa kwa kuzima mitandao, huu ni uthibitisho kuwa kesho tukapige kura kwa wingi na tuzilinde kura zetu kweli kuhakikisha huyu fedhuli harudi tena madarakani

Marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aliiambia chama chake hawakumsikiliza! Jini!
 
Mitandao ipo vizuri tuu acheni uzushi...comments zenu mnazitumaje humu jukwaani?

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Magufuli ni failure!Mara zote duniani kufunga mitandao na internet,kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani... I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
Nahapo upinzani imezuiliwa kwa miaka 5, watu wamepigwa risasi, watu wametekwa lkn bado wanayotenda yote hayo wanahofu na wananchi.
 
Back
Top Bottom