Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Inabidi kitumia JF chat sasa !! Maana yunahitaji mawasikiano hiyo kesho..muhimu sana
 
Nilichokigundua hapa mkuu, jiwe ni mtu wa hofu asiyejiamini hata kidogo ndo mana haya yanatokea.
 
Huyu jamaa anajiita Rais wa wanyonge alafu hana huruma kwa wanyonge biashara zetu zinategemea mtandao he doesn't care ilimradi yeye aende Ikulu
 
Hii nchi inaongozwa na viongozi washamba, makatili, na madikteta kutoka CCM. Sasa tunawaambia hivii, adhabu mliyotupa watanzania kwa kuzima mtandao kwa mitandao ya kijamii ili kutunyima haki yetu ya kupata habari italipwa kesho kuanzia saa moja asubuhi. # Say-No-to -Magufuli#
 
mi kwaupande wangu naona ni serekali iliyoamua kupuuzia na kuharibu mifumo ya online na digital kwa ujumla walianza na ving'amuzi, wakazuia PayPal ,wakaja kwa vijana wetu Yutubers wakitaka channel na blogs zilipiwe, saiv wanatuzimia mtandao, yan wanatunyanyasa si bora wasingeruhusu simu kabs kuliko kutupa kwa masimango hiv😭😭😔
 
umeona baby...bahat nzur nlkuwa nazunguka zunguka tu pale
 
WhatsApp, Facebook na Instagram tayari zimezuiliwa Tanzania bara, hivi wewe unaona kulikua na ulazima wowote wa kufanya hivi?
TCRA na mamlaka husika yafaa ziburuzwe mahakamani why wanaharibu biashara za watu na kuingilia faragha za watu, Ingekuwa Kenya Hadi Sasa zaidi ya kesi 100 zingeshafunguliwa mambo yao ya siasa yasiwe kero kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…