Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
23,763
2,000
Inabidi kitumia JF chat sasa !! Maana yunahitaji mawasikiano hiyo kesho..muhimu sana
 

Smart Guy

JF-Expert Member
Dec 19, 2016
4,771
2,000
Kama tumejenga uchumi, kama tunapendwa, kama tumenunua ndege, kama tumejenga barabara na madaraja, kama tunatoa elimu bure, kama tumekomesha mafisadi, kama tumeaji, kama tumejenga fly over, kama tume...kama tume... kama tume.....wasi wasi wa nini mpaka mitandao izuiliwe kufanya kazi..?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichokigundua hapa mkuu, jiwe ni mtu wa hofu asiyejiamini hata kidogo ndo mana haya yanatokea.
 

bullar

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
6,629
2,000
Huyu jamaa anajiita Rais wa wanyonge alafu hana huruma kwa wanyonge biashara zetu zinategemea mtandao he doesn't care ilimradi yeye aende Ikulu
 

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
276
1,000
Hii nchi inaongozwa na viongozi washamba, makatili, na madikteta kutoka CCM. Sasa tunawaambia hivii, adhabu mliyotupa watanzania kwa kuzima mtandao kwa mitandao ya kijamii ili kutunyima haki yetu ya kupata habari italipwa kesho kuanzia saa moja asubuhi. # Say-No-to -Magufuli#
 

E medics

Member
Sep 18, 2019
79
125
mi kwaupande wangu naona ni serekali iliyoamua kupuuzia na kuharibu mifumo ya online na digital kwa ujumla walianza na ving'amuzi, wakazuia PayPal ,wakaja kwa vijana wetu Yutubers wakitaka channel na blogs zilipiwe, saiv wanatuzimia mtandao, yan wanatunyanyasa si bora wasingeruhusu simu kabs kuliko kutupa kwa masimango hiv😭😭😔
 

Lailah ila Issa

JF-Expert Member
Jan 31, 2020
969
1,000
Kuna muda nilishangaa mdomo wangu unatoa matusi bila kutarajia. Nimepanga kukutana na hubby sehemu, nimefika hiyo sehemu simu hazitoki. Na yeye ananitafuta sipatikani. Bahati nzuri alikua anazunguka zunguka akaniona.
Yan huu upuuzi wa kuzimiana mitandao ni wa kishamba sana. 2020 tunazimiana mitandao kweli watu wengine biashara zinategemea mitandao watakula mawe. Jiwe et al. ni wehu sana
umeona baby...bahat nzur nlkuwa nazunguka zunguka tu pale
 

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,765
2,000
WhatsApp, Facebook na Instagram tayari zimezuiliwa Tanzania bara, hivi wewe unaona kulikua na ulazima wowote wa kufanya hivi?
TCRA na mamlaka husika yafaa ziburuzwe mahakamani why wanaharibu biashara za watu na kuingilia faragha za watu, Ingekuwa Kenya Hadi Sasa zaidi ya kesi 100 zingeshafunguliwa mambo yao ya siasa yasiwe kero kwa wengine
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom