Uchaguzi 2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

Kwa jinsi hii, kama tutaendelea kua na aina ya viongozi wa namna hii, katika nyakati za leo, nchi yenye wasomi wengi, tena hao wasomi ndio viongozi waandamizi serikalini, aisee jua litatupambazukia hali ya kuwa wenzetu limezama!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Ni makusudi ya makampuni ya simu Basi hawajatenda haki wapo wengi Biashara zao Ni kwa kutumia mitandao
 
Ndugu zangu najaribu kufungua Facebook na Youtube lakini haifunguki. Kulikoni?.
 
Kiukweli hali sio nzuri maana hata huo ushindi atakaposhindwa hautakuwa na raha kama mitandao imezimwa
 
Back
Top Bottom