Wakakata kaka....washaona ni sooWhatsAp nayo imekuwa nzito sana
Nilichokigundua hapa mkuu, jiwe ni mtu wa hofu asiyejiamini hata kidogo ndo mana haya yanatokea.Kama tumejenga uchumi, kama tunapendwa, kama tumenunua ndege, kama tumejenga barabara na madaraja, kama tunatoa elimu bure, kama tumekomesha mafisadi, kama tumeaji, kama tumejenga fly over, kama tume...kama tume... kama tume.....wasi wasi wa nini mpaka mitandao izuiliwe kufanya kazi..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ndio maajabu ya TanzaniaWapuuzi fulani tu..
Hawajui tu hasara wanayotupa!!
Alaf kila siku wanadai mitandaoni hamna wapiga kura, Sasa hofu yao ni nini?
UpuuziHaya mambo yanafanyika kwa nia njema, tumpe tena miaka mitano Dkt Magufuli ili aendelee kutunyoosha hadi maji tuite mmmaaaaaaa
Usalama ganiKwa usalama wa taifa wacha wazime siku mbili sio nyingi.
Unategemea bavicha wafurahi? Si mnasemaga oooh, whatsapp haiwezekani kuzuiliwa...Kiukweli hali sio nzuri maana hata huo ushindi atakaposhindwa hautakuwa na raha kama mitandao imezimwa
umeona baby...bahat nzur nlkuwa nazunguka zunguka tu paleKuna muda nilishangaa mdomo wangu unatoa matusi bila kutarajia. Nimepanga kukutana na hubby sehemu, nimefika hiyo sehemu simu hazitoki. Na yeye ananitafuta sipatikani. Bahati nzuri alikua anazunguka zunguka akaniona.
Yan huu upuuzi wa kuzimiana mitandao ni wa kishamba sana. 2020 tunazimiana mitandao kweli watu wengine biashara zinategemea mitandao watakula mawe. Jiwe et al. ni wehu sana
Naomba mkuuKwamuhitajj wa mzigo wa VPN ambao ni modded
Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
Hii inaongeza chuki kubwa kwa mtukufu magufuliWhatsApp, Facebook na Instagram tayari zimezuiliwa Tanzania bara, hivi wewe unaona kulikua na ulazima wowote wa kufanya hivi?
Wewe jamaa huwa natamani nikunyoshe kisawasawa. Kichwani umejaza ujinga mwingi sana.Wewe hata umpigie Lissu pamoja na mke wake but tambua JPM ndo Rais
TCRA na mamlaka husika yafaa ziburuzwe mahakamani why wanaharibu biashara za watu na kuingilia faragha za watu, Ingekuwa Kenya Hadi Sasa zaidi ya kesi 100 zingeshafunguliwa mambo yao ya siasa yasiwe kero kwa wengineWhatsApp, Facebook na Instagram tayari zimezuiliwa Tanzania bara, hivi wewe unaona kulikua na ulazima wowote wa kufanya hivi?
Yaani kwa hili kesho namchinja mtu naenda nikishangilia kama kada vile ila nna langu moyoni
Mwepesi Sana jamaaHii inaongeza chuki kubwa kwa mtukufu magufuli
Kwa umoja wetu twendeni kesho tukapige kura za hasira ili tuweze kumuadamisha huyu Meko !! Hii too much sasa!!Jamaa walituambia wapiga kura hawapo mitandaoni,
Lakini wanafanya hila kuzuia internet.