Mitaa korofi na hatari mikoani

Mitaa korofi na hatari mikoani

Meatu mtaa wa dhambi, kahama nyihogo na malunga, Maswa-njiapanda, nguzo nane, Kwimba -nyambiti, Magu-gamboshi, Sengerema-nyantukara, Mwanza Igogo kwa wakurya
 
Ukiwa moshi kuna mtaa wa mashenzini nyuma ya coffee curing kuanzia lang'ata mpaka daraja la bunda bar ni wazee wa kunywa wanzuki bangi na roba za mbao hapo ndo kwenyewe naona Kwa pembeni wameanzisha open university
 
Tanga mjini darajani karibu na darajani primary au splended. Pale unapigwa nondo saa 2 usiku
 
Mwanza sikuhizi full amani mitaa yote iko salama tofauti na zamani mitaa ya kilimahewa unakutana na watengwa, igogo unakutana na manyilizu
 
Moro... Mtaa hatar hasa usiku n kipleft ya Sua kama unaenda Sua,(Manzese)
 
MOROGORO: 1. Chamwino 2. Manzese 3. Mjimpya 4. Msamvu 5. Mwembesongo 6. Kihonda- Mbuyuni 7. Mafiga...hiyo mitaa kuwa makini sanaa.
DAR ES SALAAM: 1. Manzese 2. Kigogo 3. Kinondoni B 5. Vingunguti 6. Tandika na pia Mabibo

Muongo wewe ,, dar es salaam mitaa yote ni korofi!!!!
 
Taja mtaa korofi na hatari kiusalama katika mkoa wako kuwasaidia wageni pindi wafikapo mkoani kwako.
.
Magogoni palipo na ikulu ya rais.
Imefumbia macho wizi wote kiasi cha kutukosesha hata msaada wa kutibiwa tunapougua.
Hebu piga picha ebola ikipiga hodi wakati hospitali hazina hata panado?
.
 
Back
Top Bottom