Basso seleman
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 432
- 119
ngalimited, ngarenaro, matejoo, kijenge juu. izo pande kua makin sana usku
Cheka ung'atwe pale ni shidaaa....
Morogoro manzese, chamwino,,mjimpya, mafisa, kichangani, msamvu
Umesahau modeco. Dark city, nanenane, msamvu ndege wengi na sultan hayo pia ni hatari sana kwa hapo Morogoro.
ngalimited, ngarenaro, matejoo, kijenge juu. izo pande kua makin sana usku
Mwanza mitaa korofi na hatari kiusalama ni Mabatini na Shede
Iringa ni Kitanzini na Isoka
Kilimanjaro mitaa kirofi na hatari kiusalama ni Njoro na pasua
Maeneo ya feri kuna Nchi inaitwa Lebanon hapo sio salama kabisa..yaani ni karibu kabisa na Iku.lu.[/QUO Lebanon bado ingalipo?salaleee
Kilimanjaro ni Majengo na vitongoj vyake...kwa mtei,njoro..
Kule Mwanza kuna sehemu hawaitaji inaitwa kijereshi na machinjioni kwa night ni balaa tupu!!mwananchi,mahina ebana taabu.
Hapo nyuma barabara ya kuelekea Bwiru kutokea Kona ya Bwiru karibu na Kanisa la Baptist napo palikuwa hatari sana. Vijana wa hapo waliwahi kumkaba mwanajeshi, wakamjeruhi. Kilichofuatia hapo baada ya wiki mbili toka mwanajeshi akabwe, ni fundishontoka kwa vibaka. Siku hizi hata upite saa nane, hutasikia hata mjusi akikimbia. Wanajeshi walitoa fundisho.