Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 277
Arusha ni ungalimitedi ,ngarenaro,kijenge
Ongeza na Esso
Arusha ni ungalimitedi ,ngarenaro,kijenge
Dar katika wilaya ta tmk ni kaburi moja yombo makangalawe na mbagala kibonde maji pamoja na kurasini relin
Majengo umewaonea? Mimi najua Matanda na Kitangiri
Kwa kura za harakaharaka mwanza inaongoza ikifuatiwa na Arusha.
Arusha ni kona ya esso, kona mbauda, olmatejoo ya chini na juu, mianzini na ilboru., kambi ya fisi na mtaa mmoja mtata sana unaitwa cheka ung'atwe
Kwa kura za harakaharaka mwanza inaongoza ikifuatiwa na Arusha.
Huko kuna Askari kanzu kibao ndugu,labda wanaoporwa ni wale wanaoenda beach za koko au wanaopenda kwenda ma club.
Dar ni Oysterbay, Shaban Robert/Garden, Magogoni, Masaki na Mbezi Beach.Taja mtaa korofi na hatari kiusalama katika mkoa wako kuwasaidia wageni pindi wafikapo mkoani kwako.