Katibu wa Chama
Member
- Dec 3, 2014
- 43
- 14
Kyela,Ngyekye ni hatari!
Kijenge hamna shida yoyote jombaa.Arusha ni ungalimitedi ,ngarenaro,kijenge
Kijenge ni ful upako kuanzia Kijenge mwanama njoo Kijenge chini mpaka kijenge Lutheran Kijenge bondeni Kijenge mlimani Kijenge Stereo Kijenge kwa Peter mshana Kijenge kwa watengwa Kijenge riverside Kijenge kimandolu kote huko ni peaceful arifnilidhni kijenge itapitwa kimya kimya,ila kijenge now days ina sungusungu,juu hadi chini,kijenge iko peace tafuteni mitaa mengine kwa hapa Arusha joto