Niliwahi ambiwa ni mitaa ya sabasaba....japo sina uhakika sana. Wenyeji watatuambia zaidiahsante kwa Morogoro, itanisaidia. ila hiyo manzese iko wapi exactly
Morogoro manzese, chamwino,,mjimpya, mafisa, kichangani, msamvu
siku hizi hadi masaki/obay watu wanaporwa
ahsante kwa Morogoro, itanisaidia. ila hiyo manzese iko wapi exactly
shukrani, itanisadia maana nataraji kwenda karibuni
Mbeya kuna sehemu kunaitwa Nonde. Kwingine kunaitwa Mapelele kule Mbalizi.
Baaah Nkanaledi je??
vipi Dodoma ni maeneo gani?