Mwaipaja ima
JF-Expert Member
- Oct 30, 2014
- 404
- 76
Mby mwana kasahau Njeliiiiii apo kaka usipime kama mgeni ktk gari inatoka taadhari be care utachekea chooni ndugu
sumbawanga,bangwe,chanji
usimkosoe kama hujui, huyo jamaa (mwanza yote yangu) yuko sahihi, hiyo ni mitaa, kumbuka mjini hakuna vitongoji bali mitaa. Vitongoji viko huku Morogoro Vjijini, Mvomero, Mbalali, Chunya, Ileje; na maeneo hayao ni hatari tupu, ila Mkuyuni siyo pabaya sanaHiyo siyo mitaa ni vitongoji, umesahau Igogo, Mkuyuni, Bugarika.
Mie natembea tena huku mboo imechomekwa mkund.uni.
Naanzia Mtaa wa Kongo mpaka Fire.
Mwanza maeneo korofi na hatari ni
1. Bugarika
2. Igogo
3. Sahara
4. Nyanshana
5. Pasiansi
6. Mabatini (miembe giza na orange tree)
Hahahaha pasiansi ipi mkuu? Mlimani, Stand, iloganzala, malisili, sokoni, mtaa wa papa ama wapi mzee?
New York.... Harlem na mannhattans madison square !
Lakini Shinyanga pale Majengo ndo kiboko !!
Arusha:Mianzini na Ngali pamoja na Matejoo.
Dsm:Jangwani,Magomeni hospital,Manzese mahakama ya simu.
Mbeya:Mabatini na Meta.
Morogoro:Manzese.
Mwanza mitaa korofi na hatari kiusalama ni Mabatini na Shede
Taja mtaa korofi na hatari kiusalama katika mkoa wako kuwasaidia wageni pindi wafikapo mkoani kwako.