Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,817
- 5,403
dar_ikulu
Mwanza mitaa korofi na hatari kiusalama ni Mabatini na Shede
Tanga usagara mabangi nwanzange na kuchangani
Kilimanjaro mitaa kirofi na hatari kiusalama ni Njoro na pasua
Dar pita Keko machungwa,kurasini kijiji cha wavuvi,chadema bombom,kigogo kwa binti kahenga,mwananyamala kisiwani,manzese midizini,kinondoni moscow,kariakoo bonde la jangwani.....kwingine wataongezea.
dar_ikulu
kwa wasafili wa mabasi yaendayo Arusha ogopa sana TENGERU ni hatari sana wezi wa simu kwa abiria wa magari yote hata kama gari ikiwa kwenye mwendo wa speed kubwa hawa jamaa wana uwezo wa kuchukua simu kwenye siti yoyote uliyo kaa
ni hatari sana yaan very exipart hadi wanaitwa mafundi
Dar pita Keko machungwa,kurasini kijiji cha wavuvi,chadema bombom,kigogo kwa binti kahenga,mwananyamala kisiwani,manzese midizini,kinondoni moscow,kariakoo bonde la jangwani.....kwingine wataongezea.