Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Sina maneno mengi ya kukwambia ila najua wapo waongo watakao ushinda moyo wako kwa maneno yao mengi na kuniacha Mimi ambae ni mkweli kwako.
Nilichoamua ni kuacha ukweli naokwambia uonekane siyo kweli ila ipo siku ukweli wangu utajitetea wenyewe
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Makubwa!
 
Mi kabla ya kukutongoza, kwanza nikuulize kitu mke!

" Kitegeo chako kina shanga?"
 
FaizaFoxy mkee wangu mtarajiwa nimekuzawadia hilo gari njoo kesho palm village saa 8 mchana bebi wangu ❤️🍑
 
Attachments

  • lexus-lx600-2022-06-black-exterior-rear-angle-suv-scaled.jpg
    lexus-lx600-2022-06-black-exterior-rear-angle-suv-scaled.jpg
    220.5 KB · Views: 24
Back
Top Bottom