NORTHERNIST
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 304
- 247
Siti ya mbeleWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.