Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Huyu Bibi wanasema ndio Hangaya mwenyewe sasa hivi majukumu yamekuwa mengi hapati nafasi ya kuudhuria jukwaani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Hivi FaizaFoxy una miaka mingapi??.
 
Ni kweli, ila naendelea kukupenda na kukutakia mwaka mpya mwema.
P

FaizaFoxy sijawahi Kucomment mada zako ila Leo nimeona Niandike kitu...
Sikufichi Usichezee bahati,Hakika kwa huyu Jamaa umelamba Dume,Ni Mtu mzima kama Wewe na Understand sana,Hutojuta,
Jamaa ameweka Wazi Kabisa Hapa Jukwaani Please jaribu hata Kutoa Majibu ya Kueleweka!
Just muwe Friends tuu huwezi jua wapi Atakusaidia!
Huyu ni Kaka,Poti wangu! Unaweza Kuchukulia Utani Lakini My brother hapendi Utani Kwenye Vitu seriously [emoji19]
Umetangaza Offer....
Imekuwa accepted...
Sasa Bado Mutual understand which will lead to contract kati Yenu!
Usipende Kumuumiza mtu hata Kama ana Stress...
Tunategemea wanawake wawe kimbilio,Tulizo nk nk[emoji851]
Cc:FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom