Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Hao wanatafuta laana sasa,ina maana hawajui kuwa wewe ni bibi ?
Ndiyo nawaanika hapa maana wanajifanya wao vidume sana.

Wasione jina la kike wanaingia pm. Akili zao zinawatuma kuwa kila mwanamke anaeingia mitandao ya kijamii ni malaya.

Ni madomo zege yanayoshindwa kutongoza wanawake wanaowaona mitaani. Wamebaki kujificha nyuma ya keyboard na kudandia.

Wasio na adabu.
 
Wapotezee tu,wasije kufa kwa presha halafu watu wakajua ni Corona
 
Bebi mimi sitongozi.Natoa tu pesa napewa mzigo
Umezidi kuhakikishankuwa hiyo ndiyo njia uliyoikuta kwa mama'ko nyumbani. No foub
Bebi mimi sitongozi.Natoa tu pesa napewa mzigo
Umezidi kuhakikisha kuwa hiyo ndiyo njia uliyoikuta inatumika kwa mama'ko. No doubt.

Wewe itakuwa katika wale watoto ealuolelews nyumba ambayo kila anaeingia nyumbani kwenu unaambiwa na mama'ko "mwamkie baba'ko".
 
Back
Top Bottom