T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,298
- 44,767
Kumbe mnafahamiana kwa majina. Natamani nimfahamu huyu mama kwa majina halisi na sura.Mkuu MK 254, sio bila kujua Faiza anajua nilimpenda ile siku namuona tuu kwa mara ya kwanza, love at first sight, but very unfortunately mimi ndio nilikuwa nimetoka bush nikaletwa mjini na Kaka zake, nikaajiriwa na Masai Studio kuendesha kipindi cha Kiti Moto, hivyo kujua kuwa nampenda Faiza anajua.
P

