FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
- Thread starter
- #1,241
Huyo hata iweje hanifahamu kabisa. On the other hand, mimi namfahamu sana. Na wote niliomtajia anawafahamu sana.
Usione anajisheua tu hapa, ni waleee.
Kuna mtu "public figure" mwandishi wa habari maaruf akaandika uharo kama huyo? Wasiofunga uharo si wanajulikana ni kina nani? Wajerumani wanasema *springt tot", hivi mpaka watoke kabatini ndiyo muelewe? Kwa vitendo vyao tu yapaswa muelewe.