Nilikuwa natilia mkazo tu. Kumaizi ndio kumefanya dunia ikawa hapa, sijakubagua.Kasome uzi huo nimekuwekea link. Usipate tabu. Mama'ko simjuwi hanijuwi kwa hiyo hainihusu umri wake au wako,nadhani na wangu haukuhusu.
Unataka kuanza ubaguzi wa umri?
Kama una maulizo yoyote "general" nakuomba pitia uzi niliokuwekea link.
Nimetofautisha hizi nyuzi makusudi ili maudhui zisiingiliane.
Sina la ziada wala swali.