Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Binafsi yangu,nimeanza kuyaona maandiko ya bi Faiza jf muda mrefu sana,nifuraha kwangu na kama ikukupendeza nipate kuona tu mboni za macho yako niweze kutambua muandika mabandiko hayo anafanana hivi,kwa staha kubwa siitaji kusema nikutongoze najua wazi nitakuwa napoteza muda na nihakika sitafanikiwa.Ila mimi nahamu kubwa ya kukuona japo kwa picha,roho yangu itakuwa imetosheka.
 
Huyo nae genye tu zinamsumbuwa, nilishamfahamisha kuwa kama anaswali nimempa link lakini anajifanya haelewi, kang'an'gania tu hapa hapa.

Wanasema mwanamme ana damu inayomtoshwa kichwa kimoja tu na yeye ana vichwa viwili, damu ikiwa Kichwa cha chini cha juu hakifanyi kazi.
Ni pm bibi tukutane nikufurahishe

Watu wazima yetu tusiyaweke hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bi Faiza umetaka kutongozwa, upo tayari kumkubalia japo mmoja wao? Manake kama upo tayari kwa mitongozo ya wanajf, utakuwa tayari kukubali kuserebuka na mmoja wao.

Halafu vipi kama mumeo akawa anakusoma na hii mitongozo humu, hakuna tatizo lolote? Maana naona huenda hata wewe unapenda flirting, huwa haya mambo yaanza na utani mwisho mnashangaa mmelalana.
 
Binafsi yangu,nimeanza kuyaona maandiko ya bi Faiza jf muda mrefu sana,nifuraha kwangu na kama ikukupendeza nipate kuona tu mboni za macho yako niweze kutambua muandika mabandiko hayo anafanana hivi,kwa staha kubwa siitaji kusema nikutongoze najua wazi nitakuwa napoteza muda na nihakika sitafanikiwa.Ila mimi nahamu kubwa ya kukuona japo kwa picha,roho yangu itakuwa imetosheka.
ni kweli bi mkubwa kidogo kasogea, nashangaa anapotangaza fursa ya kutongozwa wakati yeye ni mwenyeji sana humu, sijui anawajengaje madogo zake kama sio watoto wake, mimi ndio maana watu kama hawa huwa siachi kufanya yangu vizuri then tuone kinachoendelea, wewe unataka picha tu, mimi akinitunuku simuachi picha sihitaji , nadhani kama mkubwa Pascal naye haitaji picha
 
Hongera. Na ukiupitia huo uzi vizuri na la umri utalikuta.

Kaka'ko pia simfahamu na hata nikimfahamu umri wake siwezi muuliza umri wake kuufanya kigezo cha kumbagua, na hata wewe pia halikadhalika.

Sifahamu kwanini unaongelea sana umri wa watu wakati kigezo cha ubora aa mtu Kiislam ni (taqwa).

Kiislam ukishabalehe wewe ni mtu mzima. That's it.
Si amekuuliza umri tu

Halafu amekuuliza kwa adabu
Na amekiri we Mtu mzma vijana wanapaswa kukuheshimu
Na sion ubaguz hapo anaosema

Mbona unamkaripia na amekuuliza kwa unyenyekevu na unamfananisha na hawa wengine wakosa adabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo nae genye tu zinamsumbuwa, nilishamfahamisha kuwa kama anaswali nimempa link lakini anajifanya haelewi, kang'an'gania tu hapa hapa.

Wanasema mwanamme ana damu inayomtoshwa kichwa kimoja tu na yeye ana vichwa viwili, damu ikiwa Kichwa cha chini cha juu hakifanyi kazi.
aisee
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM. Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Mwaka umekatika sasa!!!!Hakuna post inayokuhusu kwenye ule uzi wa "kula tunda kimasihara" kweli [emoji38][emoji844]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MLEVi Mmoja,
Ndiyo maana nikamwambia apitie ule uzi, nawe nakushauri upitie ule uzi, jibu lake litakufunza "ethics".

Kwa ufupi. Kumuuliza mtu umri wake ni ubaguzi, ni dharau, ni kejeli, ni ujinga, ni kiburi. Au vyote kwa pamoja. Kumbuka hilo.

Ukishaujuwa umri wa mtu iweje? Fikiri.
 
Boaziwaya,
Kama unazisoma posts na nyuzi zangu na ukiusoma huu uzi kwa utulivu bila ya kuwa na haraka basi kuna machache utajifunza.

Huwa sikisii na nnaelewa nnachokifanya.
 
Naunga mkono hoja wiki iliyopita nilienda hospital uku kwa mabeberu doctor alikuwa anaonekana na umri mdogo sna nikajaribu kumuuliza umri wake alinipa Darsa km ilo Mama yngu khs kutaka kujua Umri wa mtu...
Ndiyo maana nikamwambia apitie ule uzi, nawe nakushauri upitie ule uzi, jibu lake litakufunza "ethics"?

Kwa ufupi. Kumuuliza mtu umri wake ni ubaguzi, ni dhatau, ni kejeli, ni ujinga, ni kiburi. Au yote hayo kwa pamoja. Kumbuka hilo.

Ukishaujuwa umri wa mtu iweje? Fikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom