Nielekeze kwenu maana mimi niko tayari kuleta posa kwenu/kwako mbele ya maharimu zako. Huyo mmeo usijali ndo maana kuna talakaHakuna mafundisho hayo katika Uislam kama vile hakuna kutongozana kisiri.
Kutongoza kihalali ni kupeleka posa au kutoa kusudio la kuoa kwa maharim zake mwanamke au kwa mwanamke mwenyewe akiwa mbele ya maharim zake.
Nielekeze kwenu maana mimi niko tayari kuleta posa kwenu/kwako mbele ya maharimu zako. Huyo mmeo usijali ndo maana kuna talaka
Ningekua mimi namba ningetoa fasta[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Njoo Mkuranga kwa Mkanada, ndiyo kwetu utakutana nae mume wangu, kwa kuwa nipo kwenye himaya yake basi utamfahamisha yeye matakwa yako.
Karibu sana, na yupo hapa nimemuonesha ujumbe wako anasema anaomba namba yako ya simu akuelekeze vizuri, kama huna usafiri wa kufika hapa atakutumia.
ASTAGHAFIRULAA X 3Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Yaani furaha niliyonayo haina kifani , huko mimi nakuja hana haja ya kunitumia usafiri ninao wa kwangu. Siwezi kuja kuposa mtoto wa nguvu kama wewe halafu sitembei wakati nimekaa. Lakini swali la kwanza amekubali kukupa talaka? Nahitaji majibu ya hilo swali kabla sijafunga safari kuja huko ili nisipoteze muda . Kwa kuwa atakuwa amekupa talaka sitahijati kumwona yeye bali wewe au maharimu wako kwa sababu yeye atakuwa zilipendwa kama Diamond na Wema .Hivyo basi naomba unijibu swali langu haraka sana.Njoo Mkuranga kwa Mkanada, ndiyo kwetu utakutana nae mume wangu, kwa kuwa nipo kwenye himaya yake basi utamfahamisha yeye matakwa yako.
Karibu sana, na yupo hapa nimemuonesha ujumbe wako anasema anaomba namba yako ya simu akuelekeze vizuri, kama huna usafiri wa kufika hapa atakutumia.
Mzee baba vipi mbona unaleta figisu bin kauzibe? Kumbuka wagombanao ndio wapatanawo. Wewe kama huwezi ingia kwenye ligi kaa pembeni.kuna watu wanajifanya kutoa majibu ya shombo kwa faizafoxy halafu haohao ndio wa kwanza kumuulizia akiwa hawamuoni jamiiforums, mnampenda sana faizafoxy ila mioyo yenu ya mawe haiadmit mnabaki kujibu tu oo nani akutake ajuza, mara oo faiza muislamu sana as if awe muislamu kidogo, pambavu zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm hapa sema kituWale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.
Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana
Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
ssambu[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]nipo kuangalia atakayeibuka kidedea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaikumbuka ile katetero lakini? Ila papuchi yako imetela kichizi.....sijui ukikongwe umechangia!Bi Nuru, umelewa? Unajihisi mwanamme?