Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Acha Fegi na mvinyo kwanza....umeamka nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
AlhamduliLlah situmii uraibu wowote isipokuwa bangi tu tena siivuti huwa najifukiza ikiwa nimeichanganya kwenye udi wa mawardi. Nishai nazipata lakini.

Sifahamu kwanini Tanzania hawaruhusu bangi? Siku hizi my home away from home tunanunua dukani.
 
Mimi sio fala nilikuwa innocent boy by that time sema ndo circumstances tu zilitoke, anyway tuishie hapa mana Faiza Fox atatunanga kuchafua uzi wake pendwa wa Mtongozo thread
Wewe piga tu story, huu uzi chukulia ni chitchat hakuna kuharibika.
 
Faiza plz njoo inbox am real mke wangu sitanii plz mke Wangu nimeona Huu uzi wako nimeona wivu kuna wanaume wajinga humu wengi plz niamini njoo inbox mke wangu
Ulinioa lini? Wewe hata sasa hivi nikikwambia toa sadaka 10,000 huna. Utapata mke? Mashuuudu.
 
Heshima kwako FaizaFoxy. Leo umewaweza wote. Kuanzia mkubwa hadi mdogo, wote wanaokutongozaga leo kule Zenj wanasema; Wameufyata. Yaani wameubania miguuni. Dah! Haya vidume mpo wapi leo? Nadhani changio hii ni ya 20 mbona hakuna hata mmoja amethubutu?? Yaani, aliyejifanya tu ka anajikuna?
Basi lieni "Poo" kwa bibi yenu
Na nimeshawaambia kuanzia sasa hata wakija pm na simfahamu anajidai kunisalimia atakuta post yake iko hapa. Kazi kwao.
 
Ukisoma kwa makini ni Uzi makini kuliko zote.
Anatoa Somo tu hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna umakini hapa. Kama unamsoma huyu madam kwa umri wake anaosema anao na haya maudhui ya uzi huu amepotoka. Don't sugarcoat it kabisaa ila kwakuwa ni yeye mwenyewe kaamua hayo sawa tuu. Ila huu siyo uzi makini abadan labda kuna utafiti unafanyika nisioufahamu ktk huu uzi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Kutongozwa sunnah.


Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke bila kutongozwa haiji, hata posa ni kutongoza amma ukubaliwe amma ukataliwe.

Sema mijitu haina adabu, mtu mzima mke wa mtu zaidi ya miaka 40 anaweza kukuzaa huku anasuka, wewe kinyangarakata unajidai kumtongoza, Wengi hata senti za voucher mpaka wapige mzinga.

Sasa waje hapa, waoneshe utongozaji wao.
 
Hakuna umakini hapa. Kama unamsoma huyu madam kwa umri wake anaosema anao na haya maudhui ya uzi huu amepotoka. Don't sugarcoat it kabisaa ila kwakuwa ni yeye mwenyewe kaamua hayo sawa tuu. Ila huu siyo uzi makini abadan labda kuna utafiti unafanyika nisioufahamu ktk huu uzi.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Wewe unajua kupotoka wewe? Ni heri ujisomee tu huu uzi una mengi ya kujifunza.
 
Mie nawaambia wengine ni majuha, tazama huyu anaota kisha oa kabisa...

Faiza plz Kama Uko serious sema don't joke plz nakupenda mke wangu

Una pesa? Nipo serious kabisa. Tangaza ufalme.
 
Back
Top Bottom