Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Madam jumatano ya tarehe 9 January leo ulichafukwa tangu asubui. Kuna koment yako moja niliiona asibui nikasema leo kazi ipo

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Sasa hapa protocal itatoka wapi,nikikukuta mtaani utajigamba hivi.aka chizcom
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom