Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Miss JF 2023 FaizaFoxy: Wanaonitongoza waje hapa

Una miaka 40 kwenye ndoa kwa mujibu wa maneno yako mwenyewe kwenye post moja humu JF. Assuming uliolewa ukiwa at least 16 yrs of age. Hukosi 56 sasa hivi.

Wanaokutongoza huenda hawajui ukweli huu.
Waambie ukweli wawe huru. Wasuke au kunyoa.
 
Wale wote wanaojidai kunitongoza majukwaa ambayo hayahusiani na mahusiano, waje hapa kwenye jukwaa mahsusi kwa ajili hiyo.

Wacheni kuharibu nyuzi na mada za watu kwenye majukwaa yasiyohusiana na kutongozana

Hii inawahusu na wale wanaokuja kunikera PM... Karibuni hapa, mshindane kunitongoza.
Hivi na uzee huo akutongoze nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom