Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

Tuweni werevu Wakuu, binti mla nauli wa sasa ndiyo mshangazi wa miaka 5 ama 10 ijayo

Kwahiyo mshangazi mpiga vibomu wa sasa huenda miaka 5 iliyopita ndiyo alikuwa akitumiwa nauli alikuwa hatokei eneo la kujidai 🤪
 
Tatizo la mishangazi ya sasa inajiita mishangazi kwa ukubwa wa tako na kitambi badala ya fedha.

Ndiyo maana vijana mnalialia na mishangazi njaa.

Sisi millenials tulifaidi kidogo mishangazi yenye hela wayback early 2000s.
Poleni sana
Haijiiti, inaitwa…..

Idea ya kumkuza mwanamke kupita kiasi ni for sexual purposes. 1.Kumla mapema 2. kumtoa kwenye soko.
 
Kuna siku nilikuwa nimejibanza chocho navuta pichq unavyoivutia kasi pisi moja hivi dahh🫢
Dah! ebu kwanza niambie unakuja au huji, mie mambo ya wanawake sina banaa.. Mie na mke wangu mmoja sasa hivi ila nataka backup ya mshangazi ila classic wa masaki huko 😁😁.. njoo uzuri si unajua maneno yangu kama hutonikuta na familia yangu sasa hivi
 
Si ndiooo 😂

Ni kama ile usiombe ushauri kwa wazee maana hata wapumbavu wanazeeka!
Umetugusa Wazee nimejisikia vibaya 🤪

Ila kupitia andiko la mtoa mada, inaonesha hali ya kipato bado ni changamoto kwa wengi

Me na ke pia, mpenzi anayekupenda na mwenye kujiweza hashindwi kujilipia nauli na kulipia hotel ili mkakumbushie enzi 🤭
 
Back
Top Bottom