AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
😁😁 Mtumishi wa watu nimekaa zangu hapa napata kahawa hata sina habari za mambo ya mademuKahaba la kiume kwenye 1&2
😁😁 Mtumishi wa watu nimekaa zangu hapa napata kahawa hata sina habari za mambo ya mademuKahaba la kiume kwenye 1&2
Shangazi shikamoo.Tuache bwana wee!
Tatizo la mishangazi ya sasa inajiita mishangazi kwa ukubwa wa tako na kitambi badala ya fedha.Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
Huyu namuweza mimi tu akae atulize mshono🤣🤣Wewe na Mbaga, kaeni kitako mmalize tofauti zenu! 😊
Na leo iwe mara ya mwisho kunipigia simu 😎Nikae mbali wapi? Tuko sambamba mpaka nikuue😆
😁😁 Mwaka huu nimefanya maamuzi ya kuwa na mshangazi classic sana, mapenzi na hawa maninja assassin, wanaweza kuleta magonjwa ya moyo tu. Mishangazi huwa ni raha , amani na utulivu na kulombana huwa haitaki headache kabisaa kitu ambacho wote tunatakaYeah Hadi kutembea mivivu ni kazini nyumban 😁
ndio maana wanetu wa garage na supermarket wanawatomba Sana
gari ikiharibika anaitwa fundi achukue atengeneze
ijumaa na jumamosi supermarket na saloon kuwapata inabidi ukae rada🤣🤣
😂😂😂😂 nimecheka hizi comments, ila ukweli mtupu tunawahi kujipa ushangazi wakati bado tunagangaa njaa 🤣🤣Tatizo ni kua wanawake wanakua mishangazi kwenye umri mdogo, miaka 26 tu tayar anajipa hizo sifa kisa ana toto 3.
Enzi zile mshangazi ni wale waliofika menopause, sasa hivi 35 tu anajipa cheo cha mshangazi.
Poor Brain Marioos platform ambassador unaliongeleaje hili??
Tena vizinga vya mabomu ya nuclear😀😀😀😀 Mishangazi nayo inapiga vizinga
Uwee! Hivi humu jf kuna kamalaya kama wewe kweli🫢🙌🏾😁😁 Mtumishi wa watu nimekaa zangu hapa napata kahawa hata sina habari za mambo ya mademu
Nasemajee! Afe mchungaji afe mganga!Na leo iwe mara ya mwisho kunipigia simu 😎
😁😁 malaya wenyewe wa kikusikia watakuchoma moto kwa kuwaharibia jina laoUwee! Hivi humu jf kuna kamalaya kama wewe kweli🫢🙌🏾
Marahaba kijana vipi?Shangazi shikamoo.
Ilo lishangazi la pichani lizuri balaa
Mshangazi ukiomba hela, piga chini.. huyo ni mumama😀😀😀😀 Mishangazi nayo inapiga vizinga
Wewe hii kazi yako sikupingi, huwa unaiweza sana aisee🤝🏽😁😁 Mwaka huu nimefanya maamuzi ya kuwa na mshangazi classic sana, mapenzi na hawa maninja assassin, wanaweza kuleta magonjwa ya moyo tu. Mishangazi huwa ni raha , amani na utulivu na kulombana huwa haitaki headache kabisaa kitu ambacho wote tunataka
Au sio🤔😁😁 malaya wenyewe wa kikusikia watakuchoma moto kwa kuwaharibia jina lao
😁😁 Eeh no stress no headache , ni furaha tu mshangazi wangu, nimeisha weka kwenye radar kama minne hivi ninafanya upepumbuzi yakinifu na kuanza jenga mazoea ya ki gentlemanWewe hii kazi yako sikupingi, huwa unaiweza sana aisee🤝🏽
😁😁 unawahribia jina lao, mie huo umalaya siujui hata kuufanya siufanyiAu sio🤔
Salama kabisa za jpili?Marahaba kijana vipi?
Limimi hilo💃🏽
Usinisimlie nakujua na unajua🤣🤝🏽😁😁 Eeh no stress no headache , ni furaha tu mshangazi wangu, nimeisha weka kwenye radar kama minne hivi ninafanya upepumbuzi yakinifu na kuanza jenga mazoea ya ki gentleman