mishangazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Watoto wa 2000 vs Mishangazi

    Nasimama na mishangazi asee inajua inajua tena, Niko tayari kuoa mshangazi ndio vitu vyangu asee nipe nikupe
  2. amarina

    JamiiForums Tanzania Gzee kama hawajui mishangazi ina ukimwi na virus vikali

    Ninashuhudia walimu wa vyuo vikuu wanawake wakiwa na virus na wengine wakiaga Dunia. Walimu wa vyuo wa umri kati ya 35-50 sio salama kwa nyie G-zee. Unalikuta ni linene ni mnene kumbe ni muathirika. JAMBO lingine bodaboda wamemaliza MTAANI Sasa wamerejea vyuoni. Wanafunzi weng wa vyuo vikuu...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mishangazi ya siku hizi ina njaa balaa

    Tofaut na zaman ambapo ilizoeleka mishangazi inajiweza kiuchumi. Kwa sasa mishangazi mingi midangaji tu. GenZ stuka usipoteze nguvu kwenye show za mishangazi. Bora upige punyere tu. Utunze kibunda.
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania CHUMA CHAKAVU: "Mishangazi" Mjini

    Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee. Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa kiumri (kawaida miaka 30 hadi 45+), wanaojitegemea kiuchumi, warembo, na wanaojiamini. 🌟 Sababu za...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Watiwa mbaroni kwa tuhuma za kuwatapeli kimapenzi 'mishangazi' mtandaoni

    Raia wa Ghana Frederick Kumi maarufu mtandoni ‘Abu Trica’ amekamatwa kwa tuhuma za utapeli wa kimapenzi na kuwaibia wazee na watu wazima ambao ni Wazungu nchini Marekani kiasi cha fedha Dola milioni 8 za Marekani. Waendesha mashtaka wa Marekani wanasema kijana huyo mwenye miaka 31, alitumia...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Tanzania 2025 tunatiki kwa MISHANGAZI NA MIBABAZI? AU NI SINGLE MAZA NA SINGO DADY?🤣😆😀 awa waweza kuwa pandikizi kweli.

    Kampeni nchini Tanzania kinaendelea, Wagombea wote wananasi sera, Sie wakina no reform no election kiongozi wetu yupo magerezani ananyea ndio. Swali langu la msingi uchaguzi wetu wa MWAKA huu wagombea ni masingo maza na masingo Dady? Sijaona mume au mke aliyembatana na mwenza hapo hata kwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Napenda ku-date na wadada wa elf 2003 kuliko mishangazi

    Habarini, Naona humu kwenye social media wanaume wengi wanapaisha swala la kudeti na mishangazi ingawa mimi binafsi nipo 3rd floor, mdada hata awe mzuri vipi nikishajua ana miaka 30 kama mimi au 28, hamu ya kumtongoza inakata kabisa. Ila mdada akiwa ndo ana miaka 19-22, ukute amefeli form 4...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Dada Zetu/Mashemeji: Mnaachika kwasababu ya Wana/Washkaji wa Mabwana zenu

    Mabinti, Madada na Mishangazi... Sikilizeni Kidogo Siku hizi mtu akikutambulisha kwa washikaji wake, usijidanganye kwamba kila mmoja atakushangilia. Hasa ukikosa kisura cha kuvutia, macho yao ni kama CCTV — wanakuchunguza juu hadi chini, kisha maneno yao nyuma ya pazia ni ya kashfa tupu. Juzi...
  9. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya mishangazi na vitoto vya 2000s

    MISHANGAZI (1). Si watu wa kupenda mawasiliano ya mara kwa mara kwa wapenzi wao. Wanahitaji mawasiliano yenye umuhimu. (2). Wakihitaji hela wanajua matumizi sahihi ya hela anayokuomba. (Mfano: Kama anahitaji bidhaa ya Tshs elfu hamsini atakuomba elfu hamsini, na atakwambia kwa ajili gani. Pia...
  10. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Njia Mbali mbali za kupata Pesa bila kuvuja jasho

    Kama kijana ambaye hutaki mambo ya kuvuja jasho... Hutaki kazi ngumu na kazi huna.... Unataka maisha smart ila kazi ngumu hutaki.. Basi hapa panakufaaa takupa mbinu ambazo zitakufanya wewe uwe unapata pesa bila kusumbuka.. sawa blood.. Oky endelea fatilia zaidi kila siku tatoa mbinu tatu...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mbozi: Mashangazi” acheni kutumia vipato vyenu kuwarubuni vijana kwa lengo la kuwa nao kwenye mahusiano ya kimapenzi

    Wakati mataifa mbalimbaki dunia yakiadhimisha siku ya wanawake Machi 8, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe Bw. Hamad Mbega, ameitumia siku hiyo kuwataka wanawake wenye umri mkubwa maarufu kama “mashangazi” kuacha kutumia vipato vyao zikiwemo fedha za mikopo, kuwarubuni vijana wenye umri mdogo...
Back
Top Bottom