William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
1.
1. Nimekuambia mara nyingi sana kuwa kama huna maisha ambayo yanaweza kuwa mfano ndani hoja zako hapa JF, katika kueleimishana na kuhabarishana haliwezi kuwa tatizo langu,
- wewe ni wewe, na mimi ni mimi, JF tunaheshimika sana kwa sababu ya kuwa na wananchi wengi hapa kwenye sehemu mbali mbali za kuweza kuleta habari hapa za first hand, kwa bahati mbaya inaonekana kuwa wewe sio one of them, sasa I am not sorry kuwa kuongelea maisha yangu ya kila siku inaonekana kwako ni kujigamba, hapana kwangu ni kuimarisha hoja zangu katika mjadala, kwa sababu mimi ninayewaona hawa viongozi wakitengenza siasa, sio sawa na wewe ambaye kwa maneno yakjo mwenyewe huko nao karibu,
- Kama kuna anayetayarisha mafao yao hapa JF, na hawezi kuweka wazi hapa kwa nini unataka liwe tatizo langu? Kwa nini unaumia sana nikisema kuwa ninafahamiana ana viongozi, WHY? I mean siwezi kukusaidia mkuu on this, kwa mfano Mama Migiro ndiye aliyekua mama wa ubatizo wa watoto wangu kule Dodoma kwa sababu ni rafiki wa siku nyingi wa mama yangu na ameenda naye shule Weru Weru, sasa nikisema hivi ambao ni ukweli, wewe hutaki WHY? siwezi kukusaidia bro kabisaa!
- Waraka hauwezi kunisaidia anything, labda ukusaidie wewe mimi ninazungumiza ninayaona kila siku, wewe tafuta waraka mimi ninakupa facts on the ground, lakini sipo hapa kukufurahisha wewe, hata siku moja wananchi wengi wameelewa hili kuwa ukweli na pumba ziko wapi, sasa wewe mtu mmoja utapunguza nini?
2.
Hivi wewe kijana uko wapi Tanzania kweli? Hvii hujasikia kua nyumba za serikali ziliuzwa viongozi kwa wanaoziishi? Wakuu hebu msaidieni huyu wewe upo wapi?
3.
Sivyo nilivyosema, nimesema wanabadilishiwa kila mwaka nenda tena kaangalie maneno yangu!
4.
Wewe labda una macho mabovu, mimi katika post ya Joka Kuu nimechagua makusudi kipande cha Rais na mawaziri wakuu, nenda tena ukaangalie nilikoanzia, acha kunizushia maneno yako!
5.
Nonesense, nimesema Rais na mawaziri wakuu wastaafu ni lazima wafanye safari mbili kila mwaka nje kuchekiwa tu, lakini wakiugua pia ni lazima wakatibiwe, suala la kuchekiwa linasimamiwa na mmoja wa walinzi wao, ambaye ndiye mkuu wa wasaidizi wote wa mstaafu, na ndiye anayesimamia bajeti nzima ya mstaafu, sasa unachokisema exactly ni nini hasa kama sio nonesense?
6.
Ninamlamu huyo bosi wako, kwa sababu ya kumsingizia DR. Masau kuwa hajasomea upasuaji, na kwamba amewahi kuua wananchi wagonjwa hayo mimi sijawahi kuyasema, sasa nijiangalie nini? Unafikiri unavyozimia na huyo mtu wako basi wote hapa tunazimia? not me bro!
Nonsense tupu!
FMeS! Tatizo lako ni hayo majigambo na lugha ya matusi. Si wewe peke yako uliyekaribu na hao viongozi. Mimi binafsi sioni sababu ya kukuamini ati kwa sababu unadai hawa ni maswahiba zako. Wewe unakaa nao lakini wengine ndiyo wanaohusika katika kutayarisha hayo mafao. Mimi ningekuamini zaidi ungetaja waraka wa serikali unaotoa hizo stahili zote ulizozitaja. Mpaka sasa ushahidi wako haujani'convince'.
1. Nimekuambia mara nyingi sana kuwa kama huna maisha ambayo yanaweza kuwa mfano ndani hoja zako hapa JF, katika kueleimishana na kuhabarishana haliwezi kuwa tatizo langu,
- wewe ni wewe, na mimi ni mimi, JF tunaheshimika sana kwa sababu ya kuwa na wananchi wengi hapa kwenye sehemu mbali mbali za kuweza kuleta habari hapa za first hand, kwa bahati mbaya inaonekana kuwa wewe sio one of them, sasa I am not sorry kuwa kuongelea maisha yangu ya kila siku inaonekana kwako ni kujigamba, hapana kwangu ni kuimarisha hoja zangu katika mjadala, kwa sababu mimi ninayewaona hawa viongozi wakitengenza siasa, sio sawa na wewe ambaye kwa maneno yakjo mwenyewe huko nao karibu,
- Kama kuna anayetayarisha mafao yao hapa JF, na hawezi kuweka wazi hapa kwa nini unataka liwe tatizo langu? Kwa nini unaumia sana nikisema kuwa ninafahamiana ana viongozi, WHY? I mean siwezi kukusaidia mkuu on this, kwa mfano Mama Migiro ndiye aliyekua mama wa ubatizo wa watoto wangu kule Dodoma kwa sababu ni rafiki wa siku nyingi wa mama yangu na ameenda naye shule Weru Weru, sasa nikisema hivi ambao ni ukweli, wewe hutaki WHY? siwezi kukusaidia bro kabisaa!
- Waraka hauwezi kunisaidia anything, labda ukusaidie wewe mimi ninazungumiza ninayaona kila siku, wewe tafuta waraka mimi ninakupa facts on the ground, lakini sipo hapa kukufurahisha wewe, hata siku moja wananchi wengi wameelewa hili kuwa ukweli na pumba ziko wapi, sasa wewe mtu mmoja utapunguza nini?
2.
Ujue kuna tofauti kati ya kutengewa nyumba na kupewa nyumba. Nyumba ya Mkapa Masaki amepewa wala si kutengewa. sasa hiyo ya Dodoma aliyopewa ni ipi? Nyumba hizo za Dodoma wametengewa, bado ni za serikali. Kama walizinunua wenyewe au kujenga wenyewe na wangependa kuendelea kuzitumia, serikali inachukua jukumu ya kuzitunza na kuzifanya makazi RASMI ya mhusika.
Hivi wewe kijana uko wapi Tanzania kweli? Hvii hujasikia kua nyumba za serikali ziliuzwa viongozi kwa wanaoziishi? Wakuu hebu msaidieni huyu wewe upo wapi?
3.
Hayo magari kama wanapewa mapya kila mwaka ( ulivyodai awali), basi sasa hivi Mwinyi angekuwa na zaidi ya 40, maana la zamani harudishi kama walipewa. Uliponijibu ndiyo ukaelezea kuwa wanatengewa na serikali magari mawili kila mwaka (sio yao) ambayo wakishayatumia bila shaka yanarudi kwenye pool ya magari ya serikali. Usemi wako wa mwanzo ungewafanya baaadhi ya watu waamini kuwa hawa wastaafu wana mlundiko wa magari wliyonunuliwa na serikali wakati si hivyo.
Sivyo nilivyosema, nimesema wanabadilishiwa kila mwaka nenda tena kaangalie maneno yangu!
4.
Unachanganya tena mada. Hii mada inahusu viongozi wa serikali (si CCM) na hawa wanajumuisha Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu. Wewe umekurupukia Rais peke yake. Hawa wengine nao wanastahili zao ambazo zinaendana na cheo chao na si mshahara wao. Si wote kwa mfano wanaojengewa nyumba wakistaafu. Baadhi yao wanatengewa makazi kwa ajili ya matumizi yao. Wakifariki, yanarudi serikalini.
Wewe labda una macho mabovu, mimi katika post ya Joka Kuu nimechagua makusudi kipande cha Rais na mawaziri wakuu, nenda tena ukaangalie nilikoanzia, acha kunizushia maneno yako!
5.
Stahili ya mheshimiwa Rais mstaafu ni safari mbili nje ya nchi, kila mwaka, bila kujali ameenda kwa ajili ya nini. Hizi analipiwa kila kitu. Sasa wewe mwenzetu, swahiba wao, unataka kutudanganya kuwa hizi ni za matibabu tuu! Safari ya matibabu (ulivyotaka kutudanganya) ni tofauti na ya check-up. Ndiyo maana nikapinga logic yako. Rais mstaafu akiugua anahaki ya kutibiwa popote inapobidi bila kujali mara ngapi ameugua.
Nonesense, nimesema Rais na mawaziri wakuu wastaafu ni lazima wafanye safari mbili kila mwaka nje kuchekiwa tu, lakini wakiugua pia ni lazima wakatibiwe, suala la kuchekiwa linasimamiwa na mmoja wa walinzi wao, ambaye ndiye mkuu wa wasaidizi wote wa mstaafu, na ndiye anayesimamia bajeti nzima ya mstaafu, sasa unachokisema exactly ni nini hasa kama sio nonesense?
6.
Wakati unamlaumu Kuhani uwe unajiangalia na wewe mwenyewe.
Amandla............