Mishahara ya SUMATRA kufuru

Mishahara ya SUMATRA kufuru

ME NADHAN BASIC SALARY KWENYE SLIP YA MLETA MADA INASOMA 432,000.kwa hyo sio kosa lake,ila hajawah kuona salary slip nyingne zaid ya za watumish wenzie wa kada yake na ya huyo jamaa yake.

Sio vyema sana kumshambulia mtoa mada, hayo ni mawazo yake ambayo probably yametokana na exposure aliyonayo hivyo ni vyema kumuelimisha tukianzia na salary wewe unayopata maana sio kukazania huyu analipwa hivi mara yule mbona hatusemi mimi! Nafikiri kwa point of view 1.53 M pesa ya kuanzia kwa graduate sio mbaya tena kwa taasisi ya Serikali. Ni mtizamo tu na hili suala lingekuwa la manufaa sana kama tungelijadili vizuri lingekuwa na msaada hasa kwa wenzetu graduates na ambao wako un employed. Nawasilisha
 
Ukifuatilia sana serikalini mambo ya mishahara, utapata presha. Kuna ukiritimba wa hali ya juu mno
 
MKUU kachek tanapa na ngorongoro ndo utajua ka watu wanaish dunian au pepon...we unashangaa 1.5
 
Dah mi nilijua analipwa pesa miiiingggiii kumbe 1.5mil tu.We jamaa ajira zinakufanya uwe na akili za kimasikini sana.Mwache alipwe tu hyo pesa ndogo sana.
 
Unajua mnaweza kumlaumu mtu kumbe yeye hajawahi ona huo mshahara wa mamilion ya fedha, so mnachotakiwa ni kumuelimisha kuwa kuna walio zidi huo na wamo humu humu Tanzania, inawezekana yeye mshahara wake kwa mwezi ni 366,666/= kwa mwezi na hapo hajakatwa kodi, so akiona huo wa milion 1.35, anaona kama ni kumkufuru Mungu.Unajua humu Tanzania kuna wengine wanaishi kama peponi wengine wanajiuliza watapata wapi mlo mmoja kwa siku.

Jamaa kaniacha hoi sana huyu.Mi nilivyoona kufuru nikajua labda analipwa milioni 40 au 80 kwa mwezi ambapo kibongobongo ni mshahara mkubwa sana.
 
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?

Pole sana wewe na huo mshahara wako wa kwa muhindi ndo unaleta huku?!
 
hapo bold sasa umeanza matusi,
una uhakika gani kwamba mtoa mada ni mwanamke??
je wewe mama yako alikuwa baba?? na dada yako ni kaka??
mwanao wa kike ni mvulana na mkeo ni mume??

Na akujibu
 
ndugu yangu husishangae sana meli itakuacha......by the way wakala wengi wa serikali mishahara yao si haba kabisa. lakini pia kama unamuona huyo anafaidi basi kaangalie mishahara ya hawa jamaa TANROADS, TRA, BoT, TPA, EWURA, TBS, TANTRADE, hapo bado haujaenda PCCB etc.

1.53 ni mshahara wa kawaida sanaaa, na hapo am sure makato bado anaweza kuwa anaondoka na 900,000 na kitu.....TPA ukifikia ngazi ya umeneja tu kwenda juu ujue unakula above 9mil, sasa jiulize wakurugenzi watakua wanalamba ngapi...? kwahiyo huyo jamaa wa SUMATRA ujue anatakiwa alalamike mshahara mdogo
 
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?

Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza.

Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi.

Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?

Hiyo ndo kubwa? Ukiwa mtu wa majungu kwenye ujana ujue uzeeni utakuwa tu mchawi
 
Ukitoa makato na kodi inabaki kama laki 8 take home. Mbona kawaida!!
 
Mi naona huo ni mshahara mdog sana na kulingana na maisha yalivyo bado haumtoshi. Pia nafaham watu wenye elimu ya kawIda tu ya digrii moja wanalipwa zaid ya huo na masafari na masemina kubao.
 
ndugu yangu husishangae sana meli itakuacha......by the way wakala wengi wa serikali mishahara yao si haba kabisa. lakini pia kama unamuona huyo anafaidi basi kaangalie mishahara ya hawa jamaa TANROADS, TRA, BoT, TPA, EWURA, TBS, TANTRADE, hapo bado haujaenda PCCB etc.

1.53 ni mshahara wa kawaida sanaaa, na hapo am sure makato bado anaweza kuwa anaondoka na 900,000 na kitu.....TPA ukifikia ngazi ya umeneja tu kwenda juu ujue unakula above 9mil, sasa jiulize wakurugenzi watakua wanalamba ngapi...? kwahiyo huyo jamaa wa SUMATRA ujue anatakiwa alalamike mshahara mdogo

9 million a month kibongo bongo sio mbaya mkuu
 
unashangaa muhasibu kulipwa hivyo,wakati kuna taasisi za serikali dereva tu analipwa 3.5.:heh:
 
hiyo ni hela ndogo sana....wenzio 10m ni ya kununulia kabichi tu(Tibaijuka)
 
Ukweli ni kwamba mishahara ya watumishi wa serikali na watumishi wa taasisi za serikali inatofautiana kwa kiwango kikubwa, hapa namaanisha kwa mtu mwenye degree:
Mtu anayefanya kazi halmashauri mshahara wake huwezi kulinganisha na NSSF, PSPF,LAPF,GEPF,TRA,BOT...Wao hubebwa sana na allowances, but vinginevyo daah majanga.

hiyo millioni 20 au 40m inawezekana lakini labda Vilabu vya Mpira, NGO za Kimarekani au mashirika ya kimataifa....


Maneno yangu siyo sheria mpaka yafuatwe
 
Back
Top Bottom