Mishahara ya SUMATRA kufuru

Mishahara ya SUMATRA kufuru

Mimi napata 6m kwa mwezi wewe unasema 1m?

hakuna aliekuuliza mshahara wako ni kiasi gani, na hiyo haituhusu. Soma uzi kwa umakini ujue lengo lake ni nini?
Naona wewe na wengi wa wachangiaji hapa mna tatizo la kukurupuka, kwa mtazamo wangu hapa jamaa anajaribu kuikosoa serikali kwa kupendelea baadhi ya taasisi kimaslahi. Inawezekana sumatra wanamaslahi mazuri zaidi ya taasisi alieko yeye, wakati wote wanaelimu sawa na mwajiri wao ni mmoja. Sidhani kama jamaa anashangaa hizo 1.53m au hata hizo chenji zako 6m.
Tujifunze kutokukurupuka tunapochangia, after all you have an ample time to think before start writing!!
 
kaka mbona hata sisi wa Halmashauri tunapaswa kulipwa mishahara zaidi ya hiyo sema basi tu hatujengi hoja nzuri Serikalini,nimewahi kusikia NSSF kwa anayeanza na kazi anachukua around 2.4M kwa graduate,hiyo ni kwa kuwa wamejenga hoja
 
hahahahaha kaazi kweli,mie ukiniita kwenye usahili ukaniuliza mshahara huwa naanzia milioni 7 halafu nakuonesha kwanini iwe milioni 7!
nadhani baada ya muda itakuwa zaidi ya hapo.
Sasa we jamaa utakufa kwa presha,huo mshahara ni mdogo sana labda kama haujui unachokifanya kwenye kazi yako
 
watu unamshambulia mtoa.mada ila point yake ni utofauti wa mIshahara baina ya watumishi wa umaa..wote elimu sawa ila Huyo wa Sumatra analipwa 1.53mil wakati mhasibu wa halimashauri ana TGS D 625,000 yaani hata nusu hajamfikia..hata kama tofauti ilitakiwa iwepo ila si kwa kiwango hicho..ikiwa wote wanalipwa kwa pesa ya Kodi.
 
ME NADHAN BASIC SALARY KWENYE SLIP YA MLETA MADA INASOMA 432,000.kwa hyo sio kosa lake,ila hajawah kuona salary slip nyingne zaid ya za watumish wenzie wa kada yake na ya huyo jamaa yake.

Mleta hoja atakuwa katika TGTS C1. Labda hoja ingekuwa muda wake wa utumishi na kias cha mshahara alichoanza nacho ukilinganisha na kada nyingine za UMMA utabaini kaanza na mshahara mkubwa kiukweli
 
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
Huo ni mshahara kwa wafanyakazi wa
kawaida wa Bakhresa Group of Company.(azam)
Hivyo basi kwa mamlaka kama hiyo wanastahili kuongezewa zaidi.
 
watu unamshambulia mtoa.mada ila point yake ni utofauti wa mIshahara baina ya watumishi wa umaa..wote elimu sawa ila Huyo wa Sumatra analipwa 1.53mil wakati mhasibu wa halimashauri ana TGS D 625,000 yaani hata nusu hajamfikia..hata kama tofauti ilitakiwa iwepo ila si kwa kiwango hicho..ikiwa wote wanalipwa kwa pesa ya Kodi.
Anatakiwa aongezewe
lakini sio mtu anaelipwa zaidi asimangwe.
Nchi kama Tanzania ina uwezo, ni Taifa lisilofilisika.
 
hakuna aliekuuliza mshahara wako ni kiasi gani, na hiyo haituhusu. Soma uzi kwa umakini ujue lengo lake ni nini?
Naona wewe na wengi wa wachangiaji hapa mna tatizo la kukurupuka, kwa mtazamo wangu hapa jamaa anajaribu kuikosoa serikali kwa kupendelea baadhi ya taasisi kimaslahi. Inawezekana sumatra wanamaslahi mazuri zaidi ya taasisi alieko yeye, wakati wote wanaelimu sawa na mwajiri wao ni mmoja. Sidhani kama jamaa anashangaa hizo 1.53m au hata hizo chenji zako 6m.
Tujifunze kutokukurupuka tunapochangia, after all you have an ample time to think before start writing!!

Uko sahihi kabisa mantiki ya mtoa mada naamini ilikuwa ndo hiyo
 
Mbona mshahara mdogo sana huo.

Kuna watu nchi hii wanapokea milioni 40 kwa mwezi wameajiriwa.

Hao wanaolipwa 40 millions kwa mwezi wana sifa zinazofanana na huyu rafiki wa mtoa mada?? Yaan wameajiriwa mwanzoni mwa mwaka huu, wana bachelor degree kama huyu na wanafanya kazi kwenye taasisi za umma kama huyu???
 
Wewe angalau unaweza kuwa Great Thinker kati ya wengi waliojaribu kujitutumua huku na mishahara yao bila kujaribu kumwelewa mleta mada.
Wengi walivyo shalo na wameishia kusema Tshs 1.35M badala ya Tshs 1.53M aliyoitaja mleta mada.
Watu wanashindwa kusoma btn the line, mleta mada anasema anayepata amount hiyo ni fresh from school, na hiyo ni salary ya kuanzia, sasa mtu najiita great thinker analinganisha mshahara wake wa TZS 10m na wa novices. Hapo utakuwa great thinker kweli? Mtu anazungumzia mtumishi wa uma na si wa mashirika ya kimataifa. Kama wewe unafanya huko UN utajilinganishaje na mtumishi wa uma wa TZ anayeanza kazi? Mwenyewe ni mtumishi wa uma wa hayo mnayofikiria yanalipa sijui TANESCO, TRA, TPA na kwa taarifa tu wanaoanza kazi kwingine wanaishia kupata gross za hizo laki nane na tisa so acheni mleta mada alete hoja yake kwa SUMATRA kulipa TZS1.53 kwa anyeanza kazi.
Kwa kumuelimisha tu ni kuwa nijuavyo mimi na kama mambo hayajabadilika huko SUMMATRA, tofauti na agency na authority nyingina , SUMMATRA ajira zao ni za mikataba ya miaka 2-3 ambapo wengine ni permanent na pensionable. Hiyo yaweza kuwa moja ya sababu ya mshahara kuwa mkubwa relative to others.
Tuache kubeza watu na kutishiana na vimishahara vyenu na badala yake jibu hoja au kaa kimya

Well said!!
 
Labda yupo kijijini jamani msishangae kule shs 500/-bado ina sound ukiwa na note ya alfu 10 unaangaliwa mara 2/2
 
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
Nikupe tu tuisheni kidogo. Unaposema mshahara mkubwa lazima useme relative to wapi maana hata miashahara ya TRA umesema huijui. Leta comparison ambayo ipo relativbe na mamlaka zingine za serikali ndo utaeleweka zaidi. Mishahara ya mamlaka zote za serikali na taasisi za serikali kwa kawaida ndo huanzia range hizo. Mishahara yao ipo tofauti na Central Government. Mhasibu wa hazina anapokea mshahara mdogo zaidi ya mhasibu wa TRA. Kwa hiyo bado sijaona point ya post yako:biggrin1:
 
Muache kushabikia vitu kosiasa mm sumatra na dactari yupi wa muhimu ???ujinga ujinga tuuu
 
Nawasiwasi na taarifa hii,sidhani kama SUMATRA wako vizuri kuliko TPDC labda huyo jamaa ana miaka kadhaa kazini au cheo chake ni kuanzia Afisa Mwandamizi.
 
Back
Top Bottom