ukali huu nao ukizidi waweza kuwa matusi, punguza munkari.hapo bold sasa umeanza matusi,
una uhakika gani kwamba mtoa mada ni mwanamke??
je wewe mama yako alikuwa baba?? na dada yako ni kaka??
mwanao wa kike ni mvulana na mkeo ni mume??

Huyu bwana siyo kosa lake, walishakubaliana katika vikao vyao kuwa lolote linalofanywa na Serikali wanapaswa kulaani. Sasa wenzake wanapochanganya akili zao na zile za kuambiwa yeye anatoka mzima mzima, teh teh teh.
Mwalimu si unajua toka mheshimiwa mkaa-hapa atumie haka kasemo kamekuwa maarufu sana.......ni matumaini yangu mkuu MSHINO atakuwa amekuelewa .....hapo bold sasa umeanza matusi,
una uhakika gani kwamba mtoa mada ni mwanamke??
je wewe mama yako alikuwa baba?? na dada yako ni kaka??
mwanao wa kike ni mvulana na mkeo ni mume??
Millioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako
Huenda hata vyeti hana. Kama naona ananyonywa si akatafute kazi kwingine. Kuna Kilimo kwanza na Gesi vinalipa vizuri.
hapo bold sasa umeanza matusi,
una uhakika gani kwamba mtoa mada ni mwanamke??
je wewe mama yako alikuwa baba?? na dada yako ni kaka??
mwanao wa kike ni mvulana na mkeo ni mume??
Baada ya makato anabakia na 954,000. Je huo unauona ni mshahara wa kufuru.
Huyu inabidi apande basi ili aweze kusave hela nyingi.
Huu ni mshahara wa kawaida sana
Nadhani kikubwa anachokizungumzia mleta hoja ni kutkowepo na uwiano wa mishahara baina ya watumishi wa umaa, huyu anayelipwa hayo mahela anafanya nini cha zaidi kumshinda mwalimu anafundisha kule kwetu Ilongero kusikokuwa na nyumba ya mwalimu, barabara mbaya hakuna usafiri wa uhakika wala hata maji ya kunywa ni shida?!!!
hiyo pesa uwa nawatunza waimbaji wa band kwa usiku mmoja nikiwa tanzania
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
Mimi naamini wengi wa wanaoshambulia mleta mada ni mafisadi kwa sababu zifuatazoMleta mada amekariri kuwa humu kila kitu ni kupingana na Serikali. AIBU iliyoje hii jamani ndo ma-great Thinkers tunaojivunia humu. Mimi nimekariri ID yake hii ili nianze kufuatilia michango yake kwa kwaribu labda nitajiridhisha kama anastahili kuendelea kuwemo humu au tumhamishie gumzo la jiji.