Mishahara ya SUMATRA kufuru

Mishahara ya SUMATRA kufuru

kwanini tofauti iwe kubwa kwa kiwango hicho..wote tunalipwa kwa pesa za Kodi ila mmoja laki 6 basic mwingine 1.6 mil basic, angalau difference ingekuwa ndogo ila hii no difference kubwa sana karibu Mara tatu..na ndio maana mtoa mada anaona kufuru.
 
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?

Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza.

Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi.

Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?

Mbona taasisi nyingi zinalipa na huo ni mshahara wa kawaida sana aisee
 
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?

Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza.

Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi.

Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
Mbona mshahara wa kawaida sana huo man,NSSF Fresh graduate ni One million seven hudred thousand 1,700,000
Pspf ndo usiguse tuu
 
Wote ambao mme- comment hapo juu ni mambumbumbu tu...kijana alikua anamanisha tofauti ya mshara kwa mtu mwenye qualification sawa na yeye kwenye utumishi wa umma..na siyo kusema eti watu tunalipwa 20m..huo ni ujinga wa hali ya juu kabisa.
 
Mtoa mada hajafanya kosa lolote baya yeye anajaribu kulinganisha mishahara ya watumishi wa uma kwanini hailingani na inaootokea kuwa in lazima kutofautiana basi kusiwe na utofauti Mkubwa sana
 
mi nina skymark guta mbili Mafinga kila tarehe 30 napokea 600,000 per skymark guta total 1,200,0000/-
 
That is little kwa taasisi za serikali kama TRA,FCC,Ewura,Takukuru.... nk.Usiogope
 
Unashangaa kamshahara kidogo hicho wengine wanavuna million 11 mpaka 15 kwa mwezi
 
Me nalipwa laki 3 na nusu..yarabii nijaalie niwe miongon mwa wanaolipwa above million sooon! Aamin inshaallah
 
wengine humu ni sifa wanadhan watashobokewa. msitegeke ni uongo tu njaa tupu nyambafu nyie
 
Back
Top Bottom