Hata mimi naona ni mkubwa, maana mimi take home yangu ni nusu ya take home uliyoiweka hapo. Lkn haina noma,yote maisha.Baada ya makato anabakia na 954,000. Je huo unauona ni mshahara wa kufuru.
Huyu inabidi apande basi ili aweze kusave hela nyingi.
Huu ni mshahara wa kawaida sana
Umeshasema "Kuna nchi ",maana yake siyo TZ, Kibongo bongo hicho kiwango ni Kikubwa,asikwambie mtu.Mbona mshahara mdogo sana huo.
Kuna watu nchi hii wanapokea milioni 40 kwa mwezi wameajiriwa.
Kwani Jamaa analaumu ???, Ni haki yake Jamani, mwacheni.anathani aonea mada hii, lakini anashindwa tu, tatizo la kuwa na msimamo wa kulaumu kila jambo.
Ila sio kwa serikali ya Tz mkuuMillioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako
Watu mlikuwa mnajibu kwa Jeuri.Yapo wapi sasaDah mi nilijua analipwa pesa miiiingggiii kumbe 1.5mil tu.We jamaa ajira zinakufanya uwe na akili za kimasikini sana.Mwache alipwe tu hyo pesa ndogo sana.
Pole chiefMleta maada yuko sahihi,naweza kumwelewa kwani hata kwenye sector binafsi hususani benki za kigeni ni tatizo sana
Mfano mimi mwenyew binafsi nina shahada ya uhasibu nasimamishwa dirishani tangu saa 8:30 hadi saa 06:00 nakula vumbi la hela naishia kuambulia 450k per month,hapo lazima 1.53m nione kufuru
Navuta laki moja na nusu kwa mwezi na inanitosha sanaaaaawe yaelekea uko halmashauri...kiuhalisia huo ni mshahara mdogo sana
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?
Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza.
Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi.
Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
Ili umlipe mshahara mdogo sioMkuuu nina hitaji kijana kama ww mwenye mawazo hayo nikuajiri, nitumie CV yako.

hiyo pesa ya kawaida kwa agency nyingi za serikali sumatra, tanroads, nssf, tbs na nyingine afu hiyo pesa si kubwa ingawa pia si haba hata kidogo...Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?