Mishahara ya SUMATRA kufuru

Mishahara ya SUMATRA kufuru

That is little kwa taasisi za serikali kama TRA,FCC,Ewura,Takukuru.... nk.Usiogope

Acheni uongo jamani, mshahara wa watumishi wa serikali hayo mashirika ni mdogo sio kama watu wanavyoaminisha wengine humu na kuwapa presha. TRA mshahara wao kwa graduate anaeanza haufiki hapo.
 
Mbona taasisi nyingi zinalipa na huo ni mshahara wa kawaida sana aisee

Taasisi gani za serikali zinalipa huo mshahara kwa fresh graduate, zitaje ikiwezekana na ushahidi isiwe mnawapa watu presha humu bure.

Watu tinapenda kukuza mambo sana, kuna jamaa nimesoma nae,akapata kazi shirika moja hvi la serikali akanipigia simu kunijulisha na akainflate mshahara wake karibu mara mbili bila kujua mm nafaham scale za hilo shirika nikajua ni tabia ya watu kudanganya.
 
Mshahara si ishu ishu ni ku-make tu huyo mwenye salary ndefu ana kipi zaidi ya kulia lia tu kama ndorobo
 
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?

Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza.

Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi.

Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
Huo ni wivu wa kijinga kabisa ninahisi hata wewe ungependa ulipwe hivyo lakini ndiyo hivyo tena bahati ya mwenzio usiilalie nje.
 
jamani hivi na madereva wanakuwa waandamizi, mzee wangu anaendesha gari ya serika toka mwaka 1982 had leo, hv mshahara wake unaweza kuwa kama ngapi hivi? manake mi kumuuliza noma c unajua mshua.
 
Mleta mada anazungumzia zaidi ajira za serikalini,nadhani anajua sekta binafsi kuna watu wanalipwa zaidi ya millioni 40 kwa mwezi,lakini pia hiyo 1.35milioni TZS kwa mwezi bado ni mshahara wa kawaida,AU ana maanisha 1.35 million USD per month??

Tunaomba ufafanuzi mkuu.

Mbona mshahara mdogo sana huo.

Kuna watu nchi hii wanapokea milioni 40 kwa mwezi wameajiriwa.
 
mleta huo ni mshahara wa dereva wetu kwa mwezi.tena ni dereva wa lori .kwa kweli sijaona ja kulalamika hapo
 
Posti imejaa chuki tu hii....so unataka wapunguziwe....katika maisha ukijua ya kwamba fungu la mwimgine sio lako huwezi andika posti kama hizi.....Hio 1.5m ambayo ikipigwa panga ikifika 1m inaweza isitoshe kabisa matumizi hata ya mfanyakazi asie na gari
 
mie hata senti sina... nadhan kwa mwezi napata alfu ishirini ... alhamdulilah navumilia hali yangu
 
Wananchi wa kawaida wakiona mtumishi ametumbuliwa wanafurahi sana kwani wanaona anafaidi sana kimshahara hata kama ni laki nne kwa mwezi.
Hii ni tabia mbaya ya wivu na husda tu kwani unakuta hata mtu asiyeajiriwa anapata pesa zaidi ya hiyo,mf wapiga debe hupata hadi elfu 50 kwa siku na kwa mwezi ana uhakika wa 1.5M,ila bado anamuonea gere mtumishi!
 
Wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?

Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza.

Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi.

Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?

We ni zoba kabisa! Mshkaji alikuamini akakushirikisha hadi salary, kumbe wewe ni kiatu kabisa! Huo mshahara wa kufuru uko wapi hapo?? Acha wivu dogo,
 
Mleta mada , siku ukianza kulipwa milioni mbili kwa mwezi nakupa 3 months utaanza kuona hautoshi.
 
Back
Top Bottom