Mishahara ya SUMATRA kufuru

Mishahara ya SUMATRA kufuru

Jamani msimhukumu huenda ndo amemaliza chuo bado hajapata ajira au ni mwalimu anafikiri 300,000 anazolipwa watumishi wote wa serikali wanalipwa kiwango hicho hicho kumbe kwa serikali hii hii kuna wanaolipwa zaidi ya 10m na wana degree moja tu au hata diploma!!! Chezea TZ wewe
 
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
hizi ni mamlaka za serikali na mishahara wanapanga wenyewe. Mamlaka hizi nyingi mishahara yao inafanana na mashirika mengine ya umma.

Tofauti na serikali kuu mishahara yao ni midogo, lakini kuna mafungu yasiyokwisha. Watu wa serikali kuu wanamishahara midogo lakini pesa nyingi. Na kama hauko sehemu nzuri serikali kuu basi unaumia sana.

Uzuri wa hizi agent za serikali mishahara kidogo ni mizuri na inawafikia mpaka watu wa chini. Serikali kuu uongo mwingi bosi mshahara 1.5m anaendesha VX.

Pigana jaribu kutafuta sehemu yenye better pay.
 
Nadhani kikubwa anachokizungumzia mleta hoja ni kutkowepo na uwiano wa mishahara baina ya watumishi wa umaa, huyu anayelipwa hayo mahela anafanya nini cha zaidi kumshinda mwalimu anafundisha kule kwetu Ilongero kusikokuwa na nyumba ya mwalimu, barabara mbaya hakuna usafiri wa uhakika wala hata maji ya kunywa ni shida?!!!

nakupa like wewe ni great thinker
 
Namuonea huruma rafiki yako, anaishije na mshahara mdogo hivyo?
 
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
cape town kwan hujawahi kulipwa 1.5 au zaidi?????
Nakushangaa xanaa mkuuu au elimu magumashi nn???
 
Last edited by a moderator:
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?

Umepata majibu mengi na zaidi yanakuja. Ila kinachonisikitisha, kunikatisha tamaa na kunikera ni pale tunapoona hao wenye mishahara minono wanafukuzia rushwa na hasa ndogondogo za 10k, 20k, 50k n.k.
 
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?

Acha kuchanganyikiwa kijana.Yaani umeona 1.5 million ukaamua kuanzisha thread? Wewe fanya ya kwako, mshahara wa mwenzio muachie kazana tafuta mahali na wewe upate wa kwako.
 
Acha wivu wewe tafuta kazi na wewe sehemu wanayolipa vizuri ukapate na wewe hela.unajua mwenzio alivyopata tabu kupambana na maswali ya intervw mwache ale pesa
 
Bla Bla tupu hapa .... hao wanao jidai wanabeza 1.53mill.. ni wale wanayo itamani kuipata hiyo. all in all ajira ni ush.enzi mtupu na maswala ya kusubili ulipwe mwisho wa mwezi nao ni utumwa wa kifikra. Muanzisha mada hiyo 1.53mill ni nyingi ndugu yangu, kama ukiitumia kiakili unasonga mbele.
 
wakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani? Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza. Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi. Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?

aiseeeh...! nimeshtuka kweli !..............hiyo Tsh 1.53m kwetu analipwa Driver cum Messenger !
 
Wewe angalau unaweza kuwa Great Thinker kati ya wengi waliojaribu kujitutumua huku na mishahara yao bila kujaribu kumwelewa mleta mada.
Wengi walivyo shalo na wameishia kusema Tshs 1.35M badala ya Tshs 1.53M aliyoitaja mleta mada.
Watu wanashindwa kusoma btn the line, mleta mada anasema anayepata amount hiyo ni fresh from school, na hiyo ni salary ya kuanzia, sasa mtu najiita great thinker analinganisha mshahara wake wa TZS 10m na wa novices. Hapo utakuwa great thinker kweli? Mtu anazungumzia mtumishi wa uma na si wa mashirika ya kimataifa. Kama wewe unafanya huko UN utajilinganishaje na mtumishi wa uma wa TZ anayeanza kazi? Mwenyewe ni mtumishi wa uma wa hayo mnayofikiria yanalipa sijui TANESCO, TRA, TPA na kwa taarifa tu wanaoanza kazi kwingine wanaishia kupata gross za hizo laki nane na tisa so acheni mleta mada alete hoja yake kwa SUMATRA kulipa TZS1.53 kwa anyeanza kazi.
Kwa kumuelimisha tu ni kuwa nijuavyo mimi na kama mambo hayajabadilika huko SUMMATRA, tofauti na agency na authority nyingina , SUMMATRA ajira zao ni za mikataba ya miaka 2-3 ambapo wengine ni permanent na pensionable. Hiyo yaweza kuwa moja ya sababu ya mshahara kuwa mkubwa relative to others.
Tuache kubeza watu na kutishiana na vimishahara vyenu na badala yake jibu hoja au kaa kimya

We ndo small thinker na hujamwelewa mtoa mada. Mishahara ya kuanzia 1ml ni mingi sana hapa Tanzania. Ulitakiwa umweleweshe mtoa mada ajitahidi kuhangaika kusoma na kutafuta kazi nzuri zaidi badala ya kuona kuwa mshahara huo ni mkubwa. Mdogo wangu alipooanza kazi baada ya degree ya kwanza alianza na 2.7ml kwa shirika la serikali. Tujitahidi tuwape morale vijana wafanye kazi na watafute kazi na si kuwaambia kuwa ati mpaka wazeeke ndiyo watakuwa na mshahara mizuri
 
Ndugu mshahara haujengi nyumba wala kununua gari!
wapi wanapata hela za kujengea kununulia magari?
za mbayuwayu changanya na zako!
 
We ndo small thinker na hujamwelewa mtoa mada. Mishahara ya kuanzia 1ml ni mingi sana hapa Tanzania. Ulitakiwa umweleweshe mtoa mada ajitahidi kuhangaika kusoma na kutafuta kazi nzuri zaidi badala ya kuona kuwa mshahara huo ni mkubwa. Mdogo wangu alipooanza kazi baada ya degree ya kwanza alianza na 2.7ml kwa shirika la serikali. Tujitahidi tuwape morale vijana wafanye kazi na watafute kazi na si kuwaambia kuwa ati mpaka wazeeke ndiyo watakuwa na mshahara mizuri

Wewe unaongea vitu vya kufikirika tu visivyo na uhakika. Serikali ipi ambayo anayeanza kazi analipwa 2.7MLabda unazungumzia ya Marekani. Nafahamu watu wameanza BOT na kwingineko tena wakitokea one of Big 5 na wana more than 4yrs now huko TRA na BOT na hadi sasa ngo wanakati ya 2M na 2.6M. Sasa wewe unazungumzia Serikali gani ina mshahara mzuri kama sio huko BOT, TANAPA TRA na kwingineko.
Tusiongee kishabiki na tuwe realistic kidogo
 
bila shaka huyu jamaa anafanya kwa wahindi wa kariakoo...anashangaa 1.53......!! akiona wanaolipwa mishahara minono atazimia...

hata mi nimemhisi hivyo. atakua afanya kwa wahindi huyu.
 
Ebu angalia viwango hivi vya kimataifa, mwenye income ya 1.5 m or less kwa mwezi: huyo ni "VERY POOR", 1.5m mpaka 2.5 m kwa mwezi: huyo ni "POOR", 2.5m hadi 30m kwa mwezi: huyo ni "MIDDLE", 30m hadi 200m kwa mwezi: huyo ni "RICH", 200m na kuendelea: huyo yuko kwenye category ya "VERY RICH". Swali, JE,WEWE UKO CATEGORY IPI?
 
Back
Top Bottom