TCRAWakuu, hii mamlaka ya serikali inayoendeshwa kwa kodi za wavuja jasho ina unyeti sana kiasi cha watumishi wake kuenjoy pepo duniani?
Cjajua Taasisi zingine kama TRA mishahara yao ikoje ila nimeijua mishahara ya SUMATRA hadi nimeshangaa. Huenda sijafahamu unyeti wa mamlaka hii ila wanaoijua watatueleza.
Rafiki yangu amemaliza pale IFM akichukua Accouting, amepata ajira mwanzoni mwa mwaka huu katka mamlaka ya SUMATRA na kwa macho yangu amenionyesha Salary Slip yake daah, ni Milioni 1.53 kwa mwezi.
Wakuu hii mishahara inapangwa na ofisi ya utumishi au wanajipangia wafanyakazi wenyewe wa Mamlaka?
Hiyo taasisi si ilishakufa!Kwa sasa pengine analipwa si chini ya 5m
Iligawanywa, land and shipping (marineHiyo taasisi si ilishakufa!
Mkuu naomba kuwasiliana naweweMillioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako
Mbona ndogoni Milioni 1.53 kwa mwezi
Pole sana mkuuTunambeza tu mtoa mada ila Kwa maisha ya mtanzania hiyo pesa ni NDEFU , imagen mtu analipwa 70k per month na kazi haaich kuamka sa 12 so pow💔🔥
Mkuu hii mi nmeikuta mahali nilipoambiwa wanacholipwa nilichoka, kuliko nilipwe 70 nmeona Bora nilale ntulize akili nipe kibarua mkuu(elimu yangu ni bachelor) ila vyeti tuweke pembeni, Hali ni mbaya usingizi hamna, MAWAZO.Pole sana mkuu
TAKUKURU wametangaza nafasi 500 na mshahara wao ndio km huo anaolalamikia jamaa 1.53M, unakwama wapi?Mkuu hii mi nmeikuta mahali nilipoambiwa wanacholipwa nilichoka, kuliko nilipwe 70 nmeona Bora nilale ntulize akili nipe kibarua mkuu(elimu yangu ni bachelor) ila vyeti tuweke pembeni, Hali ni mbaya
0769442907
Nimeona ila CHETI CHA six Sina nadaiwa 2m+(Badal ya kwenda chuo cha kati coz skupata selection NILIPATA mfadhili shule ya private)TAKUKURU wametangaza nafasi 500 na mshahara wao ndio km huo anaolalamikia jamaa 1.53M, unakwama wapi?
Wewe omba hayo mengine sio kazi yako ni kazi yaoSema nitasubmit hivyo hivyo, MUNGU atende miujuza niitwe tu hata kwenye usaili