Mishahara ya SUMATRA kufuru

Millioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako

Shangaa na wewe... Kuna CEO wa Kampuni moja analipwa 50m.. Tena analipiwa expenses zote bila kukatwa mshahara!!!!
 
bila shaka huyu jamaa anafanya kwa wahindi wa kariakoo...anashangaa 1.53......!! akiona wanaolipwa mishahara minono atazimia...
 
Nchi zote ziko hivyo hakuna nchi ambayo mishahara iko sawa kwa idara zote kulingana na elimu ila ni unyeti wa idara au idara za kukusanya mapato hupewa kipaumbele. Ila kwa Tz bado kuna makundi yalitakiwa kulipwa zaidi kama walimu lakini idadi yao ukilinganisha na uwezo inakuwa ngumu hii imechangiwa na mapato madogo ya serikali na utumiaji mbaya wa fedha za umma. Zaidi punguza kulalamika kuwa chachu ya mabadiliko kwako na kwa wengine siku na wewe ukiwa gvt decision maker ukumbuke hayo usijesahau ukiwa kivulini
 
Millioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako

Mwambie huyo ndo katoka shule.
 
Pambana kijana achana na hayo majungu tu.
 

mara nyingi watanzania hawajui ku - negotiate mshahara unajipinda kumbana muajri unapoingia huko ndani unjikuta unalipwa karibia mara tatu ya hao walioko humo halafu badala watafute stategy binafsi za kuongezwa mshahara wanaanza kukuchukia na kukufanyia visa ili uonekane hau - perfome ili nao wa -legitimize kulipwa kama wewe au zaidi na kumfanya muajiri aone kwamba anakulipa mshahara mkubwa kimakosa usivyo stahili. ukimpa mtu kazi ya kukufanyia anazingua na kutafuta visingizio, ukienda sehemu unanyimwa usafiri yaani ili mradi kuharibu kazi, kila unachogtaka kutoka kwa wenzako unakipata sio kwa kupenda ni kwa nguvu na kuvutana sana
 
Hii thread ni nzuri sana,,,,


wanaochangia kwa lugha yamatusi nakudharau huo mshahara,,,wanaonekana wamezaliwa na kulelewa na wazazi ambao wanafanya biashara yakusafirisha sembe,,,,,wamelelewa na fedha chafu

wanashidwa kujiuliza swali dogo tu,,,je ni asilimia ngapi yawatanzania wanaolipwa huo mshahara au zaidi na je wanamda gani kazini???

Baaadhi yawachangiaje wanabaki kusema maneno ya hovyo hovyo,,,,,,,,,,,,
 

Hebu tulia kwanza! Vuta pumzi kwa nguvu! Acha mwili wako urelax, eeh si unaona, haya tulia hivo hivo!! Huna haja ya kutoa mapovu jingi hivo.
Si unaona, povu lote limeisha.
Ok, now unaweza kuanza upya.
 
hapo bold sasa umeanza matusi,
una uhakika gani kwamba mtoa mada ni mwanamke??
je wewe mama yako alikuwa baba?? na dada yako ni kaka??
mwanao wa kike ni mvulana na mkeo ni mume??

Bongo watu wengi hatuna discipline katika mambo kama kauli.

NIshamsikia Pius Msekwa, noted legislature scholar, erudite lawmaker, ruling party cadre, speaker of parliament, akaenda kusema neno hilo, publicly.

Sasa nilipoona kina baba viongozi wenyewe ndo hawa kina Msekwa, nikajua huku kwingine itakuwa balaa tu na wala sishangai sana.

Ndio haya tunayoyaona sasa.
 

hahahahahah! umenichekesha sana na kunifanya nikumbuke maneno niliyokuwa nawaambia wanangu juzi kishindo jana.

niliwaambia hivi duniani ukitaka ufaulu uwe na nidham katika kila eneo la maisha, sasa naona na wewe umesema nidham katika maongezi.kimsingi watu wanapaaswa kuwa na nidham sana kwenye kila jambo mtu alitendalo.

hivi usipokuwa na nidham katika kauli yako, ndio utakuwa na nidham kwenye jambo gumu kama muda??

kanishangaza huyu aliyetoa hii kauli.
 
Millioni 1.35 ni mshahara wa kufuru? Kweli tunatofautiana.watu wanalipwa dola 25000 ambayo ni kama millioni 40 kwa mwezi endelea kulalamika na vyeti vyako

Unalinganisha na wapi. Kwa hapa Tz ni mkubwa compared to majority of workers be it in private or government employment particularly for a fresh from university employee. Ni wangapi wanapata hiyo 40 mil Tz!
 
Kijana ni mgeni kabisa anauliza mibaba mizima mnamzodoa!jf imeanza poteza radha
 
Mie nachukua 700.000 after tax na maisha yangu Alhamdulilah! Kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake

Haaahaaaa umenivunja mbavu mkuu, nachukua 650,000/= mara 1/1 namm naingia mliman cty nabeba mazaga na mrembo wangu!
 

Wewe angalau unaweza kuwa Great Thinker kati ya wengi waliojaribu kujitutumua huku na mishahara yao bila kujaribu kumwelewa mleta mada.
Wengi walivyo shalo na wameishia kusema Tshs 1.35M badala ya Tshs 1.53M aliyoitaja mleta mada.
Watu wanashindwa kusoma btn the line, mleta mada anasema anayepata amount hiyo ni fresh from school, na hiyo ni salary ya kuanzia, sasa mtu najiita great thinker analinganisha mshahara wake wa TZS 10m na wa novices. Hapo utakuwa great thinker kweli? Mtu anazungumzia mtumishi wa uma na si wa mashirika ya kimataifa. Kama wewe unafanya huko UN utajilinganishaje na mtumishi wa uma wa TZ anayeanza kazi? Mwenyewe ni mtumishi wa uma wa hayo mnayofikiria yanalipa sijui TANESCO, TRA, TPA na kwa taarifa tu wanaoanza kazi kwingine wanaishia kupata gross za hizo laki nane na tisa so acheni mleta mada alete hoja yake kwa SUMATRA kulipa TZS1.53 kwa anyeanza kazi.
Kwa kumuelimisha tu ni kuwa nijuavyo mimi na kama mambo hayajabadilika huko SUMMATRA, tofauti na agency na authority nyingina , SUMMATRA ajira zao ni za mikataba ya miaka 2-3 ambapo wengine ni permanent na pensionable. Hiyo yaweza kuwa moja ya sababu ya mshahara kuwa mkubwa relative to others.
Tuache kubeza watu na kutishiana na vimishahara vyenu na badala yake jibu hoja au kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…