Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
kwanza kwa bajeti ipi?hahaha bongo ni kazi sana aisee, watu wanawaza increment za mshahara na hamjapandishwa vyeo? hivi kuhusu arreas inakuaje? kama watu waliopanda vyeo mwaka jana inakuaje?
kwanza kwa bajeti ipi?hahaha bongo ni kazi sana aisee, watu wanawaza increment za mshahara na hamjapandishwa vyeo? hivi kuhusu arreas inakuaje? kama watu waliopanda vyeo mwaka jana inakuaje?
Waliopanda vyeo mwaka jana barua zao zitarekebishwa ili zisome kuwa wanapanda daraja kuanzia Novemba 1 2017. Yaani ni dhulma kwa kwenda mbele.hahaha bongo ni kazi sana aisee, watu wanawaza increment za mshahara na hamjapandishwa vyeo? hivi kuhusu arreas inakuaje? kama watu waliopanda vyeo mwaka jana inakuaje?
Inatutosha sana mkuu Mungu akuone na akutendee hakipambaneni na hali zenu. mia tisa inawatosha sana.
Sio habaNasikia imeongezwa elf 90
AllSasa mbona Miluzi mingi mbwa anapotea!!Mara kaongeza 34500,Mara 90,000 mara 50,000!!
which is which????
Sura mbovu unataka Huduma nzuri !kweli una strokeNyongeza ya mishahara iendane na quality of service; huduma zenu nyingi ni mbovu sana.
SCALE MPYA KWA WATUMISHI KUANZA KUTUMIKA NOV. 2017Wakuu kwema?Nadhani Leo 17 November,Payroll zimeshawafikia wakuu wa idara huko kwenye Halmashauri mbalimbali nchi nzma.
Itapendeza zaidi Maafisa Utumishi au Wakuu wa idara mkitujuza kuhusu Orodha za malipo ya Mishahara mipya kuanzia November hii kama Mkulu alivoahidi!Je kuna ongezeko?Na kama lipo Ningependa kufahamu scales zake zimekaaje kuanzia Madaraja ya chini mpaka juu.
Ahsanteni,nawasilisha!!
Hiyo crdb salary advance wanaiba kiaina aisee, haya mambo haya. Wanasema wanachukua 5% interest lakini wanakata zaidi.Hapa mwendo ni kujilipua tu na crdb salary advance....haimalizi matatizo ila inasaidia kuyasogeza mbele.....loh!
Nimeitumia mara 2 hadi sasa sijaexperience hiko kitu....labda kwa vile hesabu kwenye ukoo wetu zililaaaniwa.Hiyo crdb salary advance wanaiba kiaina aisee, haya mambo haya. Wanasema wanachukua 5% interest lakini wanakata zaidi.
Sasa mkuu mm nimeelewa kuwa ukikopa utalipa riba ya 5% ya pesa uliopewa. Hapo ulipokopa 95, 000/ asilimia tano ni 4,750/ na sio 5,000/. Kama wakikata 5, 000/ walipaswa wakupe 100, 000/. Na 5% ya 190,000/ ni 9,500/ sio 10,000/ utakayolipa.Nimeitumia mara 2 hadi sasa sijaexperience hiko kitu....laba kwa vile hesabu kwenye uko wetu zililaaaniwa.
Ila mie maraa kwanza nilikopa lak nikapewa 95 elf. Siku ya salary nikalipa lak 1.
Mara ya pili nikachukua lak 2..nikapewa lak 190 elf...so keshokutwa nitalipa lak 2.
Mie hadi hapo naona sijaibiwa hata senti....nashukuru kwa aliyeleta hili wazo....maaana kimtaa mtaa hapa lak ilikuwa nalipa lak na 20....!
Mie uelewa wangu unasema hiv:Sasa mkuu mm nimeelewa kuwa ukikopa utalipa riba ya 5% ya pesa uliopewa. Hapo ulipokopa 95, 000/ asilimia tano ni 4,750/ na sio 5,000/. Kama wakikata 5, 000/ walipaswa wakupe 100, 000/. Na 5% ya 190,000/ ni 9,500/ sio 10,000/ utakayolipa.
Thread yako vipi! Nimeona unapinga huku ukijiweka pembeni.900 itapendeza zaidi
Hapana mkuu mm sahihi naona walitakiwa wakupe 100, 000/ urudishe 105, 000/ kama wamekupa 95,000/ ulipaswa urudishe 99, 750/. Kwani 5% ya 95, 000/ uliyopewa ni 4, 750.Mie uelewa wangu unasema hiv:
Crdb wanaponipa salary adv wananikata riba kabsa. Maanake ni kwamba nitajalipa pesa yao bila riba kwakuwa riba nimeshalipa nipochukua mkopo.
Sasa nikirejea kwenye nilichokopa. Mie nilikopa lak 1 ambayo riba yake ni 5% ambayo ni elf 5. So kwakuwa wao wanachukua kabsa riba....nikapewa elf 95. Hapa maanake kwa jinsi nilivoelewa mie ni kwamba....nimeshalipa na riba...hivo siku ya kulipa nalipa lak 1 kamili.
Ili kuelewa zaidi hebu tutizame kinyume chake....kama wasingenikata hyo elf 5 inamaana kwamba siku ya mshahara ningelipa lak 1 na elf 5.
Hiv ndio nilivoelewa.
Hapo umebadili muundo wa mkopo sasa.....wao riba unalipa kabla. Unachosema wewe ni kulipa riba baada ya hudumu( jambo ambalo lingependeza zaidi).Hapana mkuu mm sahihi naona walitakiwa wakupe 100, 000/ urudishe 105, 000/ kama wamekupa 95,000/ ulipaswa urudishe 99, 750/. Kwani 5% ya 95, 000/ uliyopewa ni 4, 750.
Nishaondoka huko...na miezi karibia mitatu sahvThread yako vipi! Nimeona unapinga huku ukijiweka pembeni.
Kwani annual increament ni kiasi gani kwa uelewa wako?Natabiri Ongezeko la elfu 10, 6, 100, ... range hizo za kipuuzi! Unamsoma mtu anayetoa nyongeza na uhusiano wake na wafanyakazi. Is he friendly? NO, a big NO!