Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Sure mkuuu.. na mimi kuna afisa utumishi mmoja nilikutana nae nikamuuliza alicheka sana.ila akasema ni ndogo tu ndo imeongezwa bila kusema ni Kiasi gani...
Tujiandae kisaikolojia..
ss mlitaka aongeze 300k kila mtu...m nachojua kila mfanyakazi ana kiasi flani cha annual increment kutegemeana na mshahara wake......inabid kujiandaa kisaikolojia mapema...
 
Acheni kuumiza kichwa bwaneee ulizeni masojaa maana yenyewe huwa inawekagwa mapema kuliko ingine subiri masojaa ikiwa kimya ujue hiyo poyoyo tu
 
Nasubir tarehe zisome nilipwe na mdeni wangu namdai 1.5M na anasema atalipw maden yke mwezi huu yapatayo 2M, watumishi(siyo wote)wana hali ngum sana, I wish wangeongezewa amaount reasonable ingependez sana...
 
Back
Top Bottom