pemgtoonet.com
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 879
- 618
Haya mateso natamani yaendelee hivi hv mpaka 2020 ili watumishi wa umma tutie adabu,....
Wewe lofa kafanye kaziMsisahau kuniletea fungu la kumi la mshahara hapa kanisani pangu.
Benki gani?Ni kweli mishahara imeingia ila sio kwa wote.nadhani wanaingiza kwa mafungu mafungu.
Alafu we jamaa muongo,ulijifanya paymaster wa JPM mara eeh wameongeza kwenye madaraja.We tulia Maana unawapa faida bank
Benki ganiMshahara umeongezwa kwangu ni 10,000/
Daraja gani mkuu?Mshahara umeongezwa kwangu ni 10,000/
huyu atakua daraja la furahisha mwanzaDaraja gani mkuu?
DBenki gani
NMBBenki gani