Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

huu uzi si mchezo yaani unaweza kujua hali halisi ya mtumishi wa umma , inanikumbusha sana wakati wa boom, kwa kweli sasa kila mtumishi ajaribu kuwa mbunifu wa namna ya kujiongezea kipato. manake naamini kwa hali hii huu mshahara kwa walio wengi haumalizi wiki baada ya kuupata🙂🙂
 
Darasani mnaanza wengi mnamaliza shule ya msingi.
Wengine wanafurahia kuingia sekondari
Wengine wanabaki na uchungu mtaani.

Sekondari mnamamaliza pamoja
Mnaachana tena
Wengine wanasherehekea kuingia kidato cha 5 huku wengine wanapukutikia mtaani.

Kidato cha sita mnamaliza wote hali inakuwa ileile kuna wanaoshereheka kwa kuingia chuo kikuu na wengine wanarudi mtaani.

Sasa mziki unakuja hapa!
La saba alipotoka alikomaa na kuzoea uraiani mwingine akafanya kazi za ajabu baadae anafanikiwa kimaisha anamuajiri 4m4 huku mambo yakiwa yanamnyookea wa 4m4 amefungua biashara yake imekua anamuajiri wa 4m6 na chuo kikuu.

Degree holder anakuja kuomba kazi kwa la saba, akifika hospitali anahudumiwa na nesi la 7 au 4m4,anaomba msaada kwa mtendaji kata 4m4,bila barua ya mtendaji hapati baadhi ya huduma muhimu pamoja na PhD zake.

Hii ndio mgawanyiko wa hali kimaisha.
Usimlaumu mwanao au nduguyo kwa kufeli shule bali mlaumu kama akifeli maisha.

Nawakilisha
 
Fact
 
kuna kademu kalikua kananizingua...
ngoja nkatigo pesa mzigo wa maana kama hakajaja kanatambaa apa!!!
[HASHTAG]#MaguFuli[/HASHTAG] oyeeee.e.ee.ee.
 
hahahahahaaa kuna vitu kuviamini ni lazima uchukuliwe ubongo wa mbele urudishwe nyuma na ule wa nyuma upelekwe mbele .....
 
Daaah nasikia daraja ni la kigamboni na furahisha hakuna daraja la kupanda wala kushuka. Vyuma vinasuguana
 
Back
Top Bottom