McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Huu uzi mbona umedorora, mishahara imeshaingia nini?
Ukiona imepita tar 22 na mshahara hakuna basi majority ya civil servants wanachanganyikiwa,[emoji23][emoji23][emoji23] kwa sasa wapo kimya maana hawaamini wanachokiona mpaka leo serikali imezila kutoa mshahara heeee heeee.