Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mimi wameniongezea 50000, sijui kwa vigezo gani? Annual increment ya kwenye mkataba wangu ni 100000
 
Ninyi walimu mnao simamia uchaguzi acheni kusimama upande wa hawa watawala wanyonyaji. Maana kama mnakaa miaka 2 mnakuja kuongezewa tsh 9000 or tsh 15000 maana yake nini? Simamieni haki na maamuzi ya wananchi
 
Ningekuwa nimejiunga na chama kimojawapo kilichopo chini ya TUCTA Jumatatu mapema ningefika ofisini kwao kudai fao la kujitoa.
 
Ninyi walimu mnao simamia uchaguzi acheni kusimama upande wa hawa watawala wanyonyaji. Maana kama mnakaa miaka 2 mnakuja kuongezewa tsh 9000 or tsh 15000 maana yake nini? Simamieni haki na maamuzi ya wananchi
Ndugu yangu hujui wizi wa kura unavofanywa na CiCiemu!!Watumishi wengi tu hawaipendi lakini sasa kwa idadi yetu hata tusipowapa kura Malofa bado ni wengi wasiojitambua!Mtasingizia sana waalimu lakini mfumo umebadilika skuizi mabox ya kura feki wanaweka kwenyebma defenda ya pol°*C coz wanajua hakuna mwananchi atakaesogelea defenda hasa wakati wa uchaguzi!!Maafande kwa vitisho vyao na mbinu hutumika kubadilisha mabox ya kura halali kuyapakia kwenye gari zao na kura feki zilizopigwa tiki za fisiemu kwa wingi huingizwa!!na hii hufanyika sana kabla ya uhesabuji wa kura kuanza kwenye vituo,mipango na mbinu hizi huandaliwa kaka ndo mana maafamde wanaongezewa pesa ndefu tu!!Mi nmeishuhudia hio!hasahasa inafanyika sehemu ambapo upinzani hauna nguvu unakuta gap tunalopigwa ni kubwa kulko hata idadi ya wapiga kura mahala husika!!Policcm wanatumika sana fanya uchunguzi!!Watumishi wengi wetu hatuipendi sisiem lakin wanaoipenda ni wengi huko vijijini ndo wanaotuangusha!
 
Darasani mnaanza wengi mnamaliza shule ya msingi.
Wengine wanafurahia kuingia sekondari
Wengine wanabaki na uchungu mtaani.

Sekondari mnamamaliza pamoja
Mnaachana tena
Wengine wanasherehekea kuingia kidato cha 5 huku wengine wanapukutikia mtaani.

Kidato cha sita mnamaliza wote hali inakuwa ileile kuna wanaoshereheka kwa kuingia chuo kikuu na wengine wanarudi mtaani.

Sasa mziki unakuja hapa!
La saba alipotoka alikomaa na kuzoea uraiani mwingine akafanya kazi za ajabu baadae anafanikiwa kimaisha anamuajiri 4m4 huku mambo yakiwa yanamnyookea wa 4m4 amefungua biashara yake imekua anamuajiri wa 4m6 na chuo kikuu.

Degree holder anakuja kuomba kazi kwa la saba, akifika hospitali anahudumiwa na nesi la 7 au 4m4,anaomba msaada kwa mtendaji kata 4m4,bila barua ya mtendaji hapati baadhi ya huduma muhimu pamoja na PhD zake.

Hii ndio mgawanyiko wa hali kimaisha.
Usimlaumu mwanao au nduguyo kwa kufeli shule bali mlaumu kama akifeli maisha.

Nawakilisha
Watendaji kata wana diploma nawengine degree.hakuna mtendaji kata wa certificate au lasaba
 
NAOMBENI TAARIFA KAMA MWEZI HUU KUNA WAFANYAKAZI WAMEPANDISHWA DARAJA LA MISHAHARA KAMA RAIS MAGUFULI ALIVOSEMA ATAWAPANDISHA 59000
 
Fanya kazi daraja utapandishwa kutokana na utendaji kazi wako wakati ukifika
 
Kwa wale walikuwa wamepewa barua na wakaonja keki ya taifa once wakashushwa tena, wameambiwa waandike barua za kurejeshwa kwenye daraja hilo!!!
 
Back
Top Bottom