Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Ongezeko elfu 13000 na mapoint
Inategemea na basic salary yako! Mshahara haujapanda, Bali hiyo ni nyongeza ya mwaka! Mshahara ukipanda hubadilisha vianzia mshahara kwa kila ngazi! Kwa sasa vianzia mshahara viko palepale! Ukipandisha mshahara kima cha chini hupanda! Kwa sasa kima cha chini kipo pale pale!
Na wale waliokuwa kwenye bar (ukomo) wa ngazi zao hakuna nyongeza!
 
hureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Msisahau kuleta fungu la kumi kanisani.
Asante sana! Hilo ni la msingi kabisa. Binafsi sijawahi kuacha kutoa fungu la kumi au zaka! Tunachoomba tu makuhani wetu itendeeni haki madhabahu kwa kuhubiri wokovu kamili! Siyo unakula fungu la kumi halafu unamtelekeza mama mchungaji na kuzamia kwenye nyumba ndogo! Tunayaona kwa baadhi huku mitaani!
 
6,220.35/-
kwa maneno-shilingi elfu sita miambili ishirini na senti thelathini na tano.

hahaha natania nisije pigwa mawe hapa.
baada ya makato haifiki hiyo niliyotaja hapo?
 
Sasa sijui anataka wote tuwe wajeda ndo atatuheshimu mana ni fearless kwetu
 
Back
Top Bottom