Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

kuna kademu kalikua kananizingua...
ngoja nkatigo pesa mzigo wa maana kama hakajaja kanatambaa apa!!!
[HASHTAG]#MaguFuli[/HASHTAG] oyeeee.e.ee.ee.
We unakomoa na kijimshahara cha utumishi na akina bakhera wafanyeje. Kweli masikini akipata....
 
Maisha yanapanda gharama mshahara haupandi. Mungu sikia kilio cha watumishi Wa taifa hili.ameeeen
 
Kama kuna mtu anamini kuwa rahisi hana mapepo aangalie NMB.
 
Safi.
Mimi walinikataliaga account yangu ya FNB wakanipa options ya benki kama tano au sita vile huku hiyo yako haikuwepo kwenye list.
Mimi nipo wizara ya afya, nilipokua naajiriwa 2009 niliambiwa kwamba naweza kufungua account benk yoyote ninayotaka. Mimi kipindi hicho nilijua kwamba lazima ufungue NMB lakini nikaambiwa kwamba naweza kufungua benk yoyote ndio nikaenda stanbic. Kwahiyo mimi mshahara ukiingia benk ndio inanitumia msg hakuna mambo ya ku cheki salio.
 
Hizi benki zingine kama NMB wezi sana. Mtu anatazama salio lake wao wanapata pesa ya kuongeza mtaji wao.
Mimi nipo wizara ya afya, nilipokua naajiriwa 2009 niliambiwa kwamba naweza kufungua account benk yoyote ninayotaka. Mimi kipindi hicho nilijua kwamba lazima ufungue NMB lakini nikaambiwa kwamba naweza kufungua benk yoyote ndio nikaenda stanbic. Kwahiyo mimi mshahara ukiingia benk ndio inanitumia msg hakuna mambo ya ku cheki salio.
 
kuna watu nawaona wanavyotukana huko walipo mbka nguo vinawatoka mwilini
 
Back
Top Bottom